Nyumba iko Plot no 10,no ya nyumba ni 51,ina maduka manne na vyumba vya kuishi tisa,ina store,jiko,urefu wa kiwanja cha nyumba ni mita sabini na upana mita kumi na tano,iko hapa Dodoma mjini mtaa...
Heshima kwenu brothers and sister, nyumba ya familia zinapangishwa vituka-lumo (nyuma ya airport) maarufu kama kwa jimmy,
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom, jiko stoo...
Heshima kwenu brothers and sister, nyumba ya familia zinapangishwa vituka-lumo (nyuma ya airport) maarufu kama kwa jimmy,
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala kimoja master bedroom, jiko stoo...
Jamani kuna dada yangu anapangisha nyumba yake nzuri iliyopo Segerea karibu na Rufita, Kituo cha basi cha kwabibi. Nyumba ni mpya iko karibu sana na bara bara na eneo tulivu, ina fence na uwezo wa...
Imetumika kwa wiki chache na iko katika hali nzuri kabisa almost new. Touchscreen na Qwerty keypad, iko na kila kitu chake mpaka box. Acha tumalizane kwa TSH 300,000 tu, 0774717033
ULTIMATE TECHNOLOGY provides web design, domain registration, web hosting, internet marketing and graphic design services to Tanzanian businesses, individuals and corporates.
We do improve...
Saa hizi ziko sokoni ni Mpya kabisa Imported from Japan ni casio Brand. and Georgio Arman.
Moja ni ya Kiume na nyingine ni ya kike Bei ni laki 300,000 Tshs. for each.
for more details please...
Heshima wakuu, Nina kashamba kangu kwenye ukubwa wa takriban Eka 8. maeneo ya Mwasonga kigamboni. Lina rutuba nzuri na limesafishwa lote. Kuna maji na vifaa vidogo vidogo vya kilimo. Kama kuna...
Nauza hii Camera ni nzuri ambayo imetumika mara mbili tu tokea upya wake.Model yake ni PL121 Samsung ina megapixel 14.2 ina doble screen.Bei yake ni poa kabisa ni shs 160,000 na sio...
Katika kuhangaika hangaika namna ya kujiongezea kipato, nikajikuta nalazimika kujiingiza katika whats so called Work At Home or Make Money Online. Changamoto iliyopo ktk biashara hii ni...
Salaam wakuu,
Jamani nisaidieni mahali naweza kupta UPS yenye uwezo wa kuhimili hadi Computer 12 & MFP (Multi Functional Printer) kwa matumizi ya bishara.. J2 njema
Wakuu natafuta Playstation 3 haraka (fast cash) my budget is 550,000/= as soon as possible!! My contacts ( 0783 115545 ) ...specs (( 200GB HDD, two controllers, very mint condition))
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.