Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wadau nategemea kuhamia arusha mapema mwezi ujao kwa neema ya mungu.naitaji nyumba au vyumba viwili vya kupanga.sio mwenyeji arusha ila ofisi yangu itakua eneo la njiro karibu na chuo cha esami...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hello! Make & Model: Toyota Platz 2001, Imported: 2008 Engine:1000cc Km: 70,000 Automatic, Power Windows, CD Player, Fuel Efficient, Comfy, and in Excellent Condition. Contact :0715140247.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa huduma za designing na printing invitation cards business cards bronchures callenders banners printing posters fliers logos na Public Relation and Advertising ideas and planning. Tunajali...
0 Reactions
1 Replies
764 Views
Wandugu, kama kuna mtu anauza huo mzigo tajwa hapo juu, plz funguka. Bei 150-160
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tunasupply electronic door locks kutoka germany. Kifupi tu ni kuwa hivi vitasa vinafunguliwa na kadi za kielectronic. Faida ya hivi vitasa Alarm ya uvamizi(burglary alarm) Alarm ya kukukumbusha...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndug wana JF.,Habari zenu.. Nauza bajaj 2 aina ya 2stroke zipo katika hali nzuri na zinatembea barabarani. Kwa kila moja bei yake ni sh MILLIONI MOJA NA LAKI NANE (Tsh 1,800,000). Zipo eneo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kiwanja kimepimwa na tayari kimewekwa jiwe, ndani yake kuna nyumba 2. eneo lipo sehemu nzuri sana kwa matumizi ya biashara ya Shule , chuo au unaweza badilisha matumizi ili kiendane na matakwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Scania 113/380 Year 1994 bei milioni 58, in two week time nitakuwa nimeshaitoa bandarini, truck hipo safi. dalali ama mnunuzi just pm me
0 Reactions
1 Replies
2K Views
7
0 Reactions
1 Replies
735 Views
wakuu kuna ipad one 64 gb WIFI 3g used for 1.5 month. ios 4 scratchlss best condtion just charger na cover nyeusi ya kufunika kote. najaribu kuweka picha inagoma. bei 720,000 tsh...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Black Mitsubish Cheriot Grand GDI for Sale PLease contact +255 754 320 849 or shmapunda@yahoo.com See attachment for Pictures.
1 Reactions
4 Replies
1K Views
wadau natumain wote n wazma,natafuta chumba cha kupanga mwanza mjini kiwe self,mwenye nacho pls.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima mbele wadau...!! Kama upo Arusha na unahitaji Computer Used Bomba...Tuwasiliane........ Zipo HP DC7600 (CPU 3.0GHZ, 1GB-RAM, 80GB HDD Windows 7 Ultimate) + HP 17"TFT Monitor (Flat...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta chumba cha kupanga, maeneo ya SINZA, KIJITONYAMA na MWENGE, Uwezo wangu wa kifedha ni shilingi 50,000/= kisiwe uswazi na ikiwezekana MWENYE NYUMBA asiwe anaishi hapo.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nyumba hii inakiwanja kikubwa na gari inafika , mnunuzi atabomoa na kujenga nyumba hata ya vyumba 3 na akabakiwa na eneo la kujenga geti, ni mbovu na chakavu. weka picha kichwani ya nyumba mbovu...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
3months used, in great condition, comes with charger only, iOS 5.0.1, modem firmware 4.10.01, inatumia gevey plus bei 700,000/= available in dar Contact me 0786882986
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari; natafuta location ya UAE exchange kama wana branch yao kwa hapa Dar es salaam, kama kuna yeyote ujuaye ilipo naomba msaada anijuze nahitaji kutuma hela kwa mtu yupo Dubai. Aksante!!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
K iwanja kinauzwa kiko maeneo ya Bahari Beach kinaukubwa wa square metre 3000. Kiwanja kiko barabarani kizuri kwa matumizi ya nyumba ya kuishi, hotel na matumizi mengine ya kibiashara bei ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wadau kuna jamaa kanisaidia kupata mkopo kariakoo , branch ya stanbic ,wanatoa mkopo kwa wafanyabiashara walio kariakoo bila security , kaniuliza kama kuna watu wapo interested, if you are...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SONY Camera ya kazi ambayo imetumika lakini ipo katika hali nzuri sana na ipo tayari kwa kuanza kazi.Kama mnavojua kampuni ya SONY ni moja ya kampuni zenye kusifika. Camera hii itaambatana na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom