Jipatie website iliyo kwa ubora zaidi kwa bei nafuu, pia jipatie ulinzi wa kutosha kwenye nyumba yako(cctv and surveilance) kwa maelezo. Email: crissalex1@live.com. Simu: 0719665022. Au 0688355306.
Wanajamvi wanaohitaji kiwanja habari ndio hii...
Kuna kiwanja kinauzwa eneo la Mbweni Mpiji, Kinondoni chenye sqm 662 na Hati miliki. Eneo la 14, kiwanja na. 216, Kinauzwa 15M tu, Hakuna dalali...
Salaam Wana Bodi. Sasa nipo kwenye kampuni flani hizi ya Ujenzi wa barabara huku pande za Songea, na kwa sasa hii kampuni ina shortage ya gari ndogo ka ajili ya Surveyors, sasa kama kuna mwanabodi...
Nauza Nikon Digital Camera Model COOLPIX 5200 na ina megapixel 5.1.Imetumika lakini ipo katika hali nzuri na inafanyakazi bila ya wasiwasi.Inayo battery na charger yake na bei ni Tshs 85,000 kwa...
Nauza Samsung Digital Camera model PL121 ambayo ipo karibu na upya kwasababu imetumika mara 2 tu kutokea upya wake.Haina tatizo lolote na inakuja na box yake pamoja na vifaa vyake vinavotakiwa...
Nauza JVC Camcorder iliyotumika Model GR-D720E.Haina matatizo yoyote inafanya kazi kama kawaida.Camera hii imetumika kwahio inaangalika kama ilivo katika picha.Camera ina adapter yake na haina...
ipo karibuna bara bara ya njia panda sigara (tcc club) na inatazama changombe road
inafaa kwamatumizi ya ofisi, duka la chakula, duka la vifaa vya ujenzi, duka la dawa dukala vipodozi nk.
bei ni...
Nauza personal collection yangu ya novels. 1. The Tristan Betrayal- By Robert Ludlum 2. The Bourne Supremecy - By Robert Ludlum. 3. The Bourne Ultimutum - By Robert Ludlum. Bei kwa Kila moja ni...
M.I.C.L,wauzaji wa tracksuits za umri miezi mitatu mpaka miaka 20,kwa bei poa sana jumla na reja reja wanapatikana K/koo mtaa wa Agrey na Congo.Pia wanapokea order za sare za watoto wa shule.Kwa...
Nauza samsung digital camera model ES28 imetumika lakini ipo katika hali nzuri sana na inafanya kazi bila ya wasiwasi.Camera hii ina megapixel 12.2 lakini haina betri itabidi ununue betri.Bei yake...
Nauza Digilife camera model DDVH9 na ina megapixel 16 ambayo itakuwa inatoa picha nzuri sana.Hii inatumika kwa kurikodi Video na Still picture na imetumika lakini ipo katika hali nzuri na inafanya...
Nauza personal collection yangu ya novels. 1. The Tristan Betrayal- By Robert Ludlum 2. The Bourne Supremecy - By Robert Ludlum. 3. The Bourne Ultimutum - By Robert Ludlum. Bei kwa Kila moja ni...
kwa wakazi wa moshi na vitongoji vyake,ninafanya computer maintanance,any softawre installation,antivirus installation kama kaspersky internet security 2012,avg internet security 2012,eset...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.