Wana JF mimi ni kijana niliyejiajiri nina elimu ya Tax management and Accounting pia nina uzoefu wa micro business assessment and analysis kwa zaidi ya mwaka na nusu nikiwa kama afisa mikopo na...
Jamani ndugu zangu nauza gari Isuzu Journey, Engine type 4BD1, Seating capacity 29, Imported-Singapore, Imefanya kazi ya Daladala kwa mwaka mmoja sasa, Tegeta-Ubungo. Ipo katika hari nzuri, Bei...
Mambo vipi wana JF?
Gari aina ya RAV 4 ya milango 5 ya rangi ya SILVER, imetengenezwa mwaka 1998, Engine capacity ni CC 1984
Odometer ni km 160,000
Owner ni mmoja tu tangu imeingia Tz.
Inauzwa...
Uwanja ni mkubwa na umepimwa, upo karibu kabisa na bandari upo katika eneo la Tom Estate hapa kurasini. nyaraka zote muhimu zipo na anayehitaji kuziona au kuona eneo anaweza kunipigia, au tuma...
Wadau Rav4 kama hii hapa chinii inaweza kwenda kwa Tsh ngapi?
Toyota RAV4 5-Dr 2.2 D-CAT SR 5doors
Year: 2003
108,000 miles
Manual
2.0L
Diesel
5 Door Estate, Silver, Diesel, Manual.
habari zenu wakuu nauza simu yangu aina ya nokia c2 kwa bei ya tshs.110,000/=.maongezi yapo simu ni mpya kabisa imetumika wiki mbili tu naiuza coz nataka ku-upgrade simu hadi kwenye smart phone...
mysteryman 18:53 Today
wakuu ninahitaji mkopo wa milion
moja wenye riba nafuu.....nitarejesha
baada ya miezi minne na uwezo
wangu au riba isizidi laki tatu kwa
miezi yote minne.....nina...
Mambo vp wana jf?
Kiwanja kina ukubwa wa nyuma 15 mita kwa 23mita mbele, na pembeni ni 17 kwa 15 mita. HAKIJAPIMWA NA HAKINA HATI.
Kwa mawasiliano: 0762 101178 au 0717 123464
Wadau natafuta gari ya kukodi kwa ajili ya Sherehe ya Harusi weekend ijayo; gari aina ya Toyota~Harrier ikipatikana nyeusi iliyo katika hali nzuri itakua vyema zaidi, nazihitaji mbili kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.