Wadau,
Kuna mdada kaniomba nimsaidie kumpigia Promo nyumba yake iliyoko Kijitonyama, karib na chuo cha Ustawi wa jamii au Grandvilla Hotel.
Nyumba ina vyumba viwili vya kulala, kimoja master...
I. Mimi nauza kamtambo kakuwoshea MADINI YA VITO, kamtambo haka kanavutw na Gari, lakini kwasasa nimetoa mataili nimaweka dani kuofia waizi, kanawosha aina yote Madini ya Vito...
Wadau habari zenu wote.
Natafuta kampuni/individual nayoweza kufanya nayo biashara on credit.
Mimi ni mfanya biashara chipukizi,nahitaji kampuni itakayoweza kuniuzia 100% soft cotton kwa majora...
Natafuta nyumba ya vyumba vitatu kwa bei isiyozidi laki 3 kwa mwezi kuanzia mwezi wa kumi na moja mwaka huu. Naahidi kuitunza kama yangu.
Naomba ujibu kama una msaada katika hili sio kujifurahisha!!!
INAFAA KWA MATUMIZI YA OFISI, DUKA LA CHAKULA, VIFAA VYA UJENZI, DUKA LA DAWA NK
BEI NI TSHS. 80,000/= KWA MWEZI NA MKATABA NI WA MIEZI SITA SITA
FREMU INATAZAMA BARA BARA YA CHANGOMBE
WASILIANA...
Panasonic DVC 15E pamoja na vifaa vyake inauzwa shs milioni 2.2.Hii ni camera ya hali ya juu (Quality)na video yake ni nzuri sana.Imetumika lakini ipo katika hali nzuri na kila kitu kinafanya...
Ndugu kama una ios 5.1.1 na unataka kujailbreak simu yako ili uwe na uwezo wa kudownload apps za kulipia for free nitafute nkupe huduma kwa bei nzuri!
NB: excluding Unlock Service
For...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.