Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nyumba ya kuishi ya kununua inahitajika vyumba 3 vya kulala iwe na sitting room,bafu,choo,jiko na store ndani,bei isizidi 20m,maeneo ya Ubungo mpaka Kibaha(Kongowe) iwe na umeme,ikiwa na maji...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu! Jamani kwa wale wenye harusi, au ndugu zenu wana harusi pitienieni www.tanzaniastylers.blogspot.com mtapata ideas nzuri sana kuhusu kuandaa harusi zenu kisasa.
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Ni nyumba nzuri , ina vyumba vinne vya kulala. sehemu ya chakula, jiko na kusomea.ujenzi wake umekomea katika hatua za mwisho kabisa. hivyo mnunuzi atamalizia matengenezo yake. bei yake ni...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kiwanja kinauzwa maeneo ya mbezi beach kwa komba karibu na stella matutina bar kina ukubwa wa square meter 4000, kina pakana na barabara upande mmoja, kina umbali wa mita 300 kutoka bagamoyo road...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Galaxy Note Inahitajika kwa tsh 750,000...ni pm au ni pgie 0782221405
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Wana JF, kwa muda mrefu kumekuwa na tabia kwa baadhi ya watu kutangaza katika jukwaa hili pasipo kuweka taarifa muhimu ya bidhaa husika kama bei, picha, namba za simu na specifications/taarifa...
1 Reactions
0 Replies
918 Views
Shamba la ekari 20 linauzwa Kiluvya Tondoroni. Eneo ni Tambarare na lina miti michache ya Miembe. linafaa kwa ujenzi wa Shule, Vyuo nk. Bei shilingi Milioni 4.5 Kila Ekari. Mawasiliano: Mobile...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba yenye rooms (3), ikiwemo master inauzwa eneo la kunduchi salasala mboma road nyuma ya kisima kikubwa cha maji. Bei ni M85, maongezi yapo. hakina udalali wala tatizo lolote. Kiwanja kina...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Its a five room house built in 40 by 20m surveyed plot with a title deed. Situated very near the Mbezi beach Africana road, good neighbourhood and surroundings. The house needs finishing only...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Iwe ya wastani,inayofaa kwa shughuli kama Secretarial services(Iwe kandokando ya barabara.My no. 0717995793/0762183852
0 Reactions
0 Replies
982 Views
Gari Inauzwa Vitz Ya Mwaka 2000,Engine VVTI,Colour Apple Green ipo Vizuri Na Katika Hali Nzuri sana,. bei Ni 7.8 Million, Maelewano Yapo.. karibu Tufanye Biashara.. Namba Ya Simu Ni 0717783919
0 Reactions
2 Replies
1K Views
(1) Magnate Mk 2 =>tractor Driven A.c =>K.V.A-40 =>made in England =>price-6.5mil,Maelewano Yapo,Dial-0717783919 , (2) LISTER PETTER-K.V.A-25,Made In England, price Ni 19mil (3)...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Samsung galax s2 mpya na box ipo sokoni kwa t750,000 call 0757670816
0 Reactions
0 Replies
1K Views
s2 yoyote kwa laki saba ni txt....au call 0783111245
0 Reactions
2 Replies
1K Views
gari Zinauzwa Pick up (double Cabin) Engine 3L za Mwaka 1996..zimetuka Uingereza..Zipo katika Hali Nzuri Na Pia Zipo 4..Bei Ni Maelewano.. phone Number:+255717783919
0 Reactions
4 Replies
2K Views
i'm looking for an accounting teacher on a part time basis if interested send your cv at mujeeb986@yahoo.com
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni touch screen, nyeupe kwa rangi, imetumika kiasi ila iko katika hali nzuri sana. bei ni 220,000 tsh. kama unahitaji basi nicheck kupitia 0774 717033
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kama kuna mtu ana decoder ya dstv ambayo ameshindwa kuihudumia tuwasiliane
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Shamba lenye ukubwa wa ekari 50 linauzwa Mlandizi. Maelezo yake ni kama ilivyoelezwa hapo chiniLipo umbali wa km 15 toka Morogoro road ukifuata barabara ya Mlandizi kwenda Bagamoyo. Ukifika sehemu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom