Bakery yenye kujitosheleza kwa vifaa na ndani ya jengo Zuri pembeni ya main road inapangishwa au mwenye mahitaji anaweza kuinunua pia! Mwenye mahitaji ya kweli tuwasiliane kwa namba hii...
Hello wadau nahitaji mini_laptop iwe na specifications zifuatzo; RAM - 2GB, PROCESSOR - 1.8GHZ, HDD - 240GB au zaidi. Pesa iliyopo ni TSh.380,000/- Ni PM tufanye biashara.
Natafuta TOYOTA RAV 4,
Iwe ya milango mi 5. Nitajie imetembea km ngapi? year of manufacture. Imeingia nchini lini? rangi yake? na taarifa zingine muhimu. Bila kusahau unauza bei gani...
Natafuta nyumba ya kupanga mbeya mjini. Iwe ya vyumba viwili, sitting na jiko.Iwe na fensi na sehemu ya kutosha kwa parking na kuweka ng'ombe mmoja au wawili wa maziwa.
Naomba mwenye nyumba yenye...
Fremu nzurii na kubwa inafaa kwa duka la dawa duka la chakula na biashara ya vifaa vya ujenzi nk.
Bei yake ni Ths. 80,000/=, kwa mwezi na mkataba ni wa miezi 6, sita, sichukui kodi kwa mwaka...
kiwanja kinauzwa, kipo ubungo kibangu ukubwa 18x20 gari inafika na kuna tofali zakutosha kabisa ambazo mmiliki alitaka kujenga then yakatokea matatizo.bei 6MILION pia kuna maelewano kwa mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.