Kiwe maeneo ya k'nyama, Sinza, Namanga, maduka mawili - Chang'ombe au Kinondoni. Ikiwa chumba na sebule itakua poa zaidi, na kikiwa kama master bedroom itakuwa safi zaidi. Nipeni msaada kwa 0774717033
My Nokia N81 imeharibika display,inawaka but haioneshi kitu...naomba kumpata fundi mzuri anaeweza kunisaidia kwa bei poa jamani...nipo Dar...naimiss sana simu yangu kwa intanet nzuri...
DELL LATITUDE D610, RAM 512MB, HDD 40GB, PROCESSOR 1.7GHZ
USED ILA HAINA TATIZO LOLOTE NA IPO KATIKA HALI NZURI,
HAIKAI CHA CHAJI KTK BETRI LAKE MORE THAN 15min (PASI/DESKTOP)
contact me: 0759950757
AM ALLY NI STUDENT WA UDSM NAUZA SIMU AINA YA BLACKBERRY TORCH ,CURVE NA NOKIA E63 KWA BEI POA .CM NI NZURIII SANA C MCHINA MY NO. 0652740304:evil::der:
NAtafuta DalalaI.
1. Nauza JCB Yina tatizo kidogo jino ya mbele dani ya gearbox yimekatika yinatebea kwakwenda mbela basi
2. Nina mtambo wakuwashea madini ya vito hata na alumasi
niko...
Kaye sms ni kampuni inayouza mda wa hewani wa meseji (sms)<br>kama wewe ni mmiliki wa internet cafe au unafanya kazi internet cafe au yeyote yule na ungependa kufanya biashara nasi nafasi ndio...
iPhone 4S white, Factory Unlocked and 32GB Capacity, white color, used for 7weeks, with screen protectors back and front, leather case, USB Cable and Power Adapter (Apple), with earphones for...
inatafutwa nyumba yenye vyumba 2 au 3, sebule, jiko na choo cha ndani. iwe na kiwanja chenye nafasi ya kuingiza gari/ magari maeneo ya ubungo riverside, mabibo na mabibo external iwe karibu na...
Hbr wakuu,
Nimeombwa na ndugu yangu kumpositia taarifa hii. Anauza gari Mitsubishi Fuso ya mwaka 1994 model FK618J (Heavy load Vehicle - Tani 10). Ipokwenye hari nzuri but inahitaji service. Bei...
Gari aina ya Suzuki Carry zinauzwa, zipo pieces 10, zimeingia nchini kutokea Japan, zimelipiwa kila kitu mpaka registration, kuweka specification ya zote kwa mtindo wa moja moja ni ngumu Ila kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.