kuna jamaa yangu mmoja anatafuta chumba kikubwa na kizuri cha kupanga maeneo ya Sanawari, Mianzini, Sakina na maeneo ambayo yapo karibu ya Arusha Technical college. Chumba hicho kiwe self...
Heshima kwenu brothers and sisters,
Polen sana na majukumu, inshort mi ni kijana wa kiume 25yrs of age, natafuta vijana wenzangu 2 na mimi wa tatu, wanaoanza safari yao ya maisha ili for...
Jamani wanajamvi salama? Natafuta betri ya hp min laptop mwenye kuwa nayo naomba tufanye biashara. Au anaejua waliko mafundi wachakachuaji wa betri tafadhali nijulishe.
Make: Volvo, JUNE
Mechanism: Hydrolic
Location: Tabata, Matumbi.
Manufactured: 1982
Condition: Iko kwenye hali nzuri, Inatumika na inauzwa. Arrived in Tanzania 2011 January.
Bei: 35,000,000 Tshs...
Tunauza betri acid za jumla kwa bei nzuri tu, tena tunaweza kukuletea mpaka mlangoni kwako, haya maji ya betri, distilled water na coolant za kwenye magari.
Maji ya betri yenye kiwango cha gravity...
Wana JF ninatafuta gari aina ya Pajero Jr (1.1 cc) kwa haraka. Tafadhali kama unalo au unazo taarifa muhimu kuhusu wapi naweza pata hili gari hasa Dar tafadhali nijulishe. Asante
Located at Kerege along Bagamoyo Road, a second village from BUNJU. There are three semi-developed homes on the plot and a 12 rooms foundation. It has a Title Deed (Certificate of occupancy)...
Nauza kiwanja changu mwenyewe kipo tegeta kwa Makamba kinafikika kwa urahisi ,hakina hati but kina offer.bei kuanzia 15m pungufu unaongea...ni pm kwa maelezo zaidi.
Jamani kwa yeyote anayejuwa natafuta isuzu journey kubwa iliyo kwenye hali nzuri aidha ni dala dala au sio waweza tuma meseji au piga simu 0754 646827 bei ya kununua itategemea hali ya gari na...
Nauza kwa bei 450,000 nimetumia miezi miwili
GENERAL 2G Network GSM 850 / 900 / 1800 / 1900
3G Network HSDPA 900 / 2100
Announced 2010, December
Status Available. Released 2011, April
BODY...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.