Vyumba vya biashara(fremu) zinauzwa. Vipo vyumba 11 na stoo ndogo vyenye hali nzuri,vyoo viwili na bafu.Zina Eneo la kutosha la kuegesha magari.Kuna usalama wa kutosha kwani ni karibu sana na...
Shamba lenye ukubwa wa ekari 50 linauzwa Mlandizi. Maelezo yake ni kama ilivyoelezwa hapo chiniLipo umbali wa km 15 toka Morogoro road ukifuata barabara ya Mlandizi kwenda Bagamoyo. Ukifika sehemu...
Habari wanajf! Kuna blackberry curve 9360 latest inauzwa imetumika kwa miezi miwili bei ni 560000 if interested ni pm!
Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
Kwa yeyote yule aliye nacho hcho chumba tuwasiliane,kiwe na umeme,maji na gate kwa usalama zaidi.Bei tuelewane.Waweza nijulisha hapa jamvini au kwa kuni P.M.Tupeane mawasiliano zaidi.Ntashukuru...
IPO SEHEMU NZURI NA INATAZAMA BARA BARA YA CHANGOMBE
INAFAA KWA DUKA LA VIFA VYA UJENZI , DUKA LA VYAKULA, VINYWAJI NA VIPODOZI
BEI NI TSHS. 80,000/= KWA MWEZI NA MKATABA NI WA MIEZI SITA SITA...
Nyumba inapangishwa Mbezi luis mtaa wa mshikamano, umbali ni km 1.5 kutoka Morogoro Road, kodi ni laki 300,000/= kwa mwezi na inahitajika kodi ya miezi sita.
Nyumba ni self contained, ina 3 bed...
Kiwanja chenye ukubwa wa 15m kwa 15m kwa 18m na kwa mbele ni 23meters,kipo bondeni kuliko endelea, bei inazungumzika.
kwa mawasiliano 0717 123 464 au 0762 101 178
Kiwanja kipo sehemu nzuri sana, eneo limepimwa na limejengwa nyumba za kisasa, kiwanja kina sifa zifuatazo
Ukubwa 30m x 23m.
kimezungushiwa ukuta wa tofari eneo lote
kimejengwa msingi imara kabisa...
ninauza simu yangu ya Iphone 3gs.
ni 32gb internal memory.
version 4.2.1 na unaweza upgrade.
ina applications 205 both za kununua na ku download bure itunes.
bei ni laki 400.
kwa mawasiliano zaidi...
Wadau nina deal ya kubadilishana kiwanja nyumba.mimi nina kiwanja with clean tittle deed of 99 years 700 sqm kipo bunju a, just short distance from bagamoyo main road.kipo kwenye kona kwa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.