Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauze my galaxy note for kwa 750,000tsh ni pm au 0782221405
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Simu ya nokia1102 ya tochi inauzwa no:0785592278
0 Reactions
0 Replies
777 Views
hey friends, Natafuta housing ya simu ya aina galaxy note..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello! Microtelecomms Tanzania ni kampuni iliyosajiliwa inayojihusiaha na masuala ya Web Designing, Web Registration, and Web Hosting technology ambapo yatafanikisha wewe/kampuni yako...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama una hiyo modem nichek kwa 0753196849 na bei isizid 30000tshs
0 Reactions
0 Replies
1K Views
iwe ya wastan,inafaa kwa shughuli za stationery.my no 0717995793/0762183852
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Siyo kama kweli ni sawa hasa kwa hili maana kila wamebinafsisha niende wapi mimi mzawa nilicho tegemea hakipo tena wakati huo haja tuonesha sehem ya kwenda kule tutafika tuwendako jaman kwa hali hiii
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kiwanja hicho kiwe maeneo yenye ardhi nzur yenye maji na access ya umeme, maeneo ya makazi ya kuishi, pls wasiliana nami , ningepenelea maeneo ya kule chini moshono, ngaramtoni au popote pazuri
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wanajf. Naulizia kama naweza kupata engine ya toyota duet ya piston 3 kama kuna mtu anajua inapatikana wapi.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa wanao hitaji ideos smartphones, zinapatikana. Tsh 180,000. New and original. To make your order ni pm.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaj mCard (memory stick pro duo) iwe ya 4gb au zaidi
0 Reactions
0 Replies
750 Views
mwenye kuuza screen ya laptop aina ya hp 6515b anipe bei.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nasikitika kuwajulisha kuwa Ndugu Gervas Mkili hatunaye tena. Mkili alifariki jana Jumapili pale Hospital ya Muhimbili wakati akipatiwa matibabu ya Moyo, tatizo lililogundulika siku moja kabla ya...
2 Reactions
26 Replies
6K Views
any one selling either of the above smartphone by instalment may call me 0713079282, curve 2,3 or bold 2,3 or torch 1 or iphone 3gs nokia n8 or x2
0 Reactions
0 Replies
779 Views
ina vyumba 2 vya kulala, jiko na choo, iko ndani ya uzio , luku maji yapo compound unashirikiana na wenzako 2, gari haiingii ndani inakaa nyumba ya pili. bei Tsh, 250,000/= kwa mwezi. juu ina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naweza kupata wapi simu aina hii Huawei Ascend P1 na Huawei U 8860 honor kwa hapa Bongo,anayejua tafadhali anijuze,pia ningependa kujua na bei yake.Natanguliza shukrani
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Take One ( Tanzania ) Limited tuna supply mayai sehemu mbalimbali kwa bei nafuu. Tupo Mburahati/kagera Road karibu na kiyuo cha basi cha CCM. Kuwasiliana piga 0714 25 53 51. Karibu.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari zenu JF sisi ni private dealers ambao tunauza magari ya aina mbalimbali kwa bei nzuri. tunauza magari mapya na yal used yaliyo in a very good condition........ baathi ya magari ni kama...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Salam kwa wote! Nyumba mbili pamoja na kiwanja cha kutosha zipo MOSHI mjini Eneo la karanga, bara bara ya Moshi Arusha, mkabala na geti la Magereza la karanga Moshi. Kwa maelezo zaidi piga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jaman kwa wale wanaotaka kiwanja!! Kipo Dodoma ndani ya manispaa maeneo ya makulu!!karb na reli Kimepimwa doc zake zipo. Maji yapo karbu kama nyumba 2...3 hivi ya kusogeza tu! Na umeme pia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom