Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Haina kipengele chochote bei 120k nicheki tufanye biashara 0684737743
0 Reactions
1 Replies
265 Views
Habari zenu wadau, Nyumba Ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja self,sebule jiko na public toilet,ipo ndani ya eneo la mita za mraba 400,maeneo ya zingiziwa,Chanika. Bei ni milioni 15
1 Reactions
0 Replies
436 Views
Starbay Electrical Works Limited Registered Electrical contractor (CRB) class 6 We deal with below -Professional electrical installation for both domestic and industrial. -Data cable...
2 Reactions
47 Replies
5K Views
Ziko vizuri, unanunua na kuanza biashara siku hiyo hiyo. Nissan 25M na rosa 14M Zipo DSM. Piga 0653 141189 au 0754 279035
0 Reactions
3 Replies
682 Views
Habari wakuu, Nauza Petrol Generator ndogo 1kw, aina ya Boss. Generator limetumika miezi minne tu, nauza sababu load imeongezeka so nahitaji Generator yenye uwezo mkubwa zaidi. Bei Tzs 200,000/=...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wanna jf... Kuna mtu anahitaji chumba cha kupanga mwanza mjini kama unacho au unafaham kinapopatikana naomba unijuze ila usiwe dalali chumba kinachohitajika ni cha 30,000 kiwe katika hali...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Njia mojawapo ya kuongeza thamani ya nyumba yako ya uwekezaji ni kuifanyia ukarabati. Ongezeko la thamani ya nyumba kutokana na ukarabati wa nyumba hutegemea sana maarifa sahihi aliyonayo...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyumba Ina vyumba viwili vya kulala sebule jiko na choo Cha public. Ipo kwenye fensi mazingira mazuri. Ipo kwenye barabara ya mtaa, ipo Kigamboni darajani karibu na daraja la Nyerere. Simu...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hivi pikipiki used ya bei rahisi kbsa naweza pata kwa shingapi [emoji848]
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nauza nyumba yangu iliyopo mkoani Morogoro. Mimi ndio mmiliki wa hiyo nyumba. Ukubwa wa kiwanja ni 1500qm. Nyumba ni ya ghorofa. Vyumba vitano (vinne ni master bedroom) Dinning na kitchen ni open...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari ndugu..!! Karibu Katika kampuni pendwa ambayo imekuwa ikitoa huduma ya internet majumbani pamoja na offisini kwa bei Nafuu kabisa. Ateb technology tunatoa internet yenye spend na kasi ya...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Nime upgrade mashine yangu katika upande wa processorr so mwenye uhitaji wa ku upgrade yake nauza hii i5-3570 bei ndogo tu 60000. Kama unatumia moja ya processor kati ya hizo pichani basi ndo...
0 Reactions
1 Replies
747 Views
Nauza viatu vizuri sana nipo Dar pia mikoani natuma kwa uaminifu mawasiliano 0678096545
1 Reactions
16 Replies
580 Views
Habari za wakati huu wakurugenzi? Wanahitajika Wauzaji wa Jumla wa bidhaa zifuatazo ambao wanauwezo wa kussuply mzigo wa thamni yoyote kwa bei ya Jumla.Iwapo unao uwezo wa kussuply kiasi hicho...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za wakati huu; Website Inauzwa.Ni website ya biashara ya affiliate/reseller Program.Ukinunua website utapata faida zifuatazo; Utapata Domain name Utaweza kuingiza kipato kwa kuuza bidhaa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Samsung Galaxy A32 5G Barely Used straight from South Korea 64GB 48 MP Primary Camera with 2160p Display Single Simcard 6.5 Inch Display 4GB RAM Long lasting battery- 5000Mah Battery Price...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nyumba Ina vyumba viwili vya kulala sebule jiko na choo Cha public.ipo kwenye fensi mazingira mazur. Ipo kwenye barabara ya mtaa, ipo Kigamboni darajani karibu na daraja la Nyerere. 0652180400
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Habar za Kutwa wadau ...ashlic moving clinic ni kituo kinachotoa huduma ya aina zote za massage kwa ustadi mkubwa na weledi ......aina zinazotolewa n Swedish massage ...thai massage ....body to...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Bajaj ya mizigo inauzwa. Milioni 3 tu kampuni wanhoo Nzima na iko kijiweni mpaka sasa inapiga kazi Eneo: Mwanza Ndama/igoma Piga simu; 0713096076 Nje ya mada: Chukua tahadhari, usitumie hasira...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom