HABARI
KAMA SIMU YAKO INA SHIDA YA SOFTWARE, Mfano kwenye ;
APPLICATION
MESSAGE
STORAGE (Simu imejaa)
CALLS
NOTIFICATION USIZOZIELEWA NA ZINATOKEA KILA MARA
KUTUNZA FILE ZOTE GOOGLE ILI...
Wakuu nahitaji website au blog yenye matangazo ya Google Adsense yakiwa hayana shida yeyote, kwa aliyenayo naomba tuwasiliane
Njoo WhatsApp http://wa.link/c951p8
Ndugu mtanzania mwenzangu, tumeanza kuzalisha viatu vya ngozi halisi kwa matumizi mbalimbali. kuanzia viatu vya watoto vya shule na matumizi mbalimbali, vya kiume (Safety boot, army boot...
Wadau salaama!
Nahitaji huduma ya mwanasheria(advocate) kwaajili ya kuthibitisha(certify) vyeti vyangu na baadhi ya documents. Awe maeneo ya Bunju au karibu na huko. Nicheck inbox kama una any leads.
Miliki gari kwa mkopo mpaka wa milioni 60(60,000,000tsh) ...inatakiwa uwe na uwezo wa kulipia angalau 60% ya gari unalotaka..
Tupigie 0744551655 kwa maelezo zaidi au fika magomeni mikumi kuona...
Wadau wasalaam!
Nataka kuanza kilimo kikubwa maeneo ya kisaki, morogoro. Natafuta shamba la kununua eka 50 mpaka 200. Naomba offer au ushauri kwa yoyote mwenye ufahamu wa eneo hili.
Asanteni.
Natanguliza shukrani wakuu, natafuta sana hiki kiatu kikiwa kipya kwa hapa DSM, wapi naweza pata, naona kwenye maduka mengi wanauza vile vya mchina vile(copy/fake).
Mara ya mwisho nilibahatisha...
Habari wakuu,
Ninahitaji mbao za mkongo au mninga, napatikana Dar lakini sihitaji kununua Dar kwa kuwa gharama ni kubwa.
Nimeambiwa mninga unapatikana zaidi Tabora na Mkongo unapatikana zaidi...
Kila nikifikiria jinsi madalali wanavyotupiga kwenye viwanja, basi hutamani siku moja ije sheria iwe anaetaka kuuza kiwanja aende kwa wakili aliyesajiliwa. Ila ikiwekwa sheria hii itawaumbua sana...
Habari nauza mashine hiyo hapo.
Kwa ajili ya kutengeneza lambalamba ni ya kubeba na kuanza kazi inauwezo wa kubeba tray moja ya pieces 40 na mzigo unaganda baada ya dakika 15.
Uzuri wa hii...
*TOYOTA IST
YEAR OF MANU 2005
ENGINE CC 1290
REG NUMBER #DHJ
*PRICE 8.7M *
IKO VIZUR IWAHI[emoji91]
0719921552 call
Mimi ndiye mmiliki ,Nimefulia sana Nahitaji Hela
Kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na shinikizo la damu na kisukari tunauza mashine ambazo utaweza kuzitumia kupima mara kwa mara na kujua maendeleo yako.
Mashine ya sukari ina strips 25 za kuanzia...
Habari wakuu,
Nilikuwa natafuta mtu/kampuni inayosupply karatasi zile za kaki zinafanana na mfuko wa karatasi au bahasha.
Wapi zinapatikana au mwenye mawasiliano msaada tafadhali.
Nakuja kwenu wana wa JF,naomba msaada wenu,kuna kijana anaitwa KAIGI ERASTO LUKAGURA,anatafuta baba yake mzazi ambae amepoteana nae tangu akiwa mdogo,baba alihamishwa kikazi kutoka old shinyanga...
Habari zenu wadau,
Tunauza kuku aina ya chotara wenye kilo 5 na kuendelea tupo pwani mkuranga,Bei ya jumla kuanzia 18000.majogoo na majike 15000.wapo 300.karibuni Sana,mawasiliano,0789881466 na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.