Nyumba iliyopo Mbezi Luisi njia ya kuelekea Mpiji Magoeinapangishwa. Nyumba hiyo ipo karibu na Sekondari ya Mbezi kilomita moja kutoka barabara ya Morogoro. Nyumba yenyewe ina sebule, chumba cha...
Nauza LG GW 305 mobile kwa bei nzuri kabisa. Ina guarantee ya mwaka mzima, Qwerty keyboard easy-messaging. Send me a PM ili tufanye biashara mapema kabla bidhaa haijaenda.
Wakuu,
Nimetaarifiwa sasa hivi kwamba mke wa member mwenzetu Freetown ameaga dunia mchana huu saa7.30 kwenye hospitali ya KCMC-Moshi.
Freetown ni member 'legend' hapa majukwaani, na kwa wale...
AINA: HCDGNV111D
SPIKA TANO
7900W
3 DVDS
TAPE
SURROUND + tru sound
4 INPUTS
n.k
Tatizo lililopo: Ukijaribu kueject tray ya CD inaandika "LOCKED",so sijatumia sehemu ya CD muda...
Nauza piki piki ya miguu mitatu TWO STROKE YA INDIA
-imetumika
-bado inatembea,injini iko safi,inakula mafuta vizuri lita moja kwa karibu km 30
-bodi iko safi
-Inafaa kufanyia biashara
-Tafuta...
Heshima zenu wana JF. Nasikitika kuwafahamisha kuwa mwana JF ambaye alitangazwa hapa na Maxence Melo kuwa anaumwa sana na kuomba tumwombee amefariki dunia.
Mwana JF huyu ambaye ni mke wa mwana...
Kiwanja kinauzwa, kimepimwa,kina hati na kipo katika eneo lililopimwa (moja ya maeneo ya viwanja 20,000 vya mradi, eneo zima lina viwanja 8000 vilivyopimwa) kipo eneo la Buyuni,ilala (It is...
Nampongeza mwanangu Franklin kwa kutimiza miaka miwili.
Mungu akulinde na kukutunza,maisha yako yawe ya mafanikio,baraka na amani.
Your Mumy
Mary C
Mekelle-Tigray State
Ethiopia
Ndugu,
Mimi nimekuwa natumia TV ya SONNY Triniton, Lakini sasa imechoka kwani rangi haionekani vizuri. Hivyo nataka kununua TV nyingine. Budget ni kama 700K hivi. Nimeshauriwa nininue Flat...
The African Studies Program of the University of Iowa will hold a Symposium
entitled ³The Future of Multiparty Democracy in East Africa² on April 1-2,
2011. All events will be held at the...
MAGETI;
MILANGO NA MADIRISHA YA CHUMA AU ALUMINIUM;
FREMU ZA MILANGO ZA CHUMA (STEEL) KWA WASIOPENDA USUMBUFU WA MCHWA;
MATANGI YA UKUBWA MBALIMBALI KWA AJILI YA KUHIFADHI NAFAKA;
VIOO VYA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.