Tanzanian Training Centre for International Health, Ifakara
REFRESHER COURSE FOR CLINICAL OFFICERS 2011
18- 29 April 2011 Ifakara, Tanzania.
This course is open to clinical officers...
Ipo nyuma ya Ubungo kibangu shule ys Msingi. Ina vyumba vitatu vya kulala. uzio. sebure. jiko. Ni self contained. Kodi ni tzs 300,000 kwa mwezi. Mawasiliano 0784225000 or 0717114409
Wakuu heshima mbele!natafuta generator ndogo kwa matumizi ya nyumbani,manake huu mgao wa umeme ishakua taabu!kwa sisi tuanoishi huku maporini unaweza kumkanyaga nyoka akakugonga bure,gharama...
Natafuta nyumba ya kupanga Arusha iwe ya vyumba viwili vya kulala,sebule,jiko,choo na bafu,pia geti,umeme na maji.
bei ianzie 100,000/= hadi 150,000/= kwa mwezi ndiyo tutakayomudu kwasasa wana JF...
Wenyeji wa KATA ya Kinampnda!
Kuna shule huko nyumbani inaitwa Kinampanda SSekondari inatchafua jina letu,
Ni hizi shule zilizoanzishwa na Mkwere bila maandalizi!Hata iwe vipi wengi watoto wetu...
Ninauza simu kwa bei nafuu kabisa
1. HTC Wildfire imetumika mara chache(UK), almost karibu na mpya, touch screen android phone,iko na pouch rangi ya pink (kwa masista duu) bei laki tatu na nusu...
NYUMBA yenye vyumba 3 , dinind, sitting, jiko na choo+bafu pamoja na uwanja mkubwa inauzwa kimara mwisho - ghorofani.
bei Mil 35 (O.N.O).
kwa mawasiliano ya kutumiwa picha za nyumba na maelezo ya...
JF kila kitu kinawezekana....wakuu natafuta ramani ya nyumba ya vyuma vitatu au vinne...nyumba ya kawaida...au ikipatikana hata ya ghorofa moja..lakini ground floor iwe na na hata vyumba viwili i...
WanaJf wote naomba kutoa tangazo la kuwa ninauza Portable external Hard disks za
Seagate.
500GB kwa Tshs 160,000/=
na
1TB kwa Tshs 230,000/=
unaweza kuzitumia kwenye operating system...
Nyumba inapangishwa sinza kumekucha, ina vyumba vitatu vya kulala na masterbedroom moja, sebule, dinning, jiko na store, nyumba ina marumaru za spain, parking kubwa na fence ya uhakika, bei ni...
Wakuu,
Naiuza BlackBerry yangu kwa bei ya kutupwa (BB Bold 9700). You mention the price, we negotiate.
Imetumika kwa 4months, ina screen protector (haijapata mikwaruzo).
Devices ZOTE zipo ikiwa...
Niko nje ya nchi kwa muda wa miaka 5 sasa, hivyo basi sijui biashara gani inalipa kwa wakati huu.So mwenye ideal naomba anishauri ili niweze kumuwezesha bi.mkubwa(mama) maana kila biashara anayo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.