Kwa wale waote wanaohangaika kutafuta battery za simu, au power supply za computers, battery za laptops, au printer toners na cartilages za aina mbalimbali, na ambazo ni shida kupatikana kwenye...
Jamani naomba ushauri nina m 7.5 nataka gari ambalo ni economic especially kwenye mafuta then spares, lakini liwe reliable na linalouzika at the end of the day, brand iwe Toyota ntashukuru sana...
kazi kwenu wakazi wa mwanza ,ADEM sasa ipo mwanza kutoa mafunzo mbali mbali kwa ngazi ya diploma na sertificate,kwa masomo ya uongozi na utawala pamoja na kozi za kompyuta,chuo kimesajiliwa ni...
Ipo Mbezi kwa Msuguri Ina vyumba vitatu vya kulala (kimoja self contained),
sebule, jiko, Choo cha nje. Kodi ya pango shs 250,000 kwa mwezi.
Kodi ya miezi sita
inapokelewa.
kwa maelezo ya...
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kijitonyama au sinza. Iwe 2 bedrooms, 1 sitting room, bei Tshs 150,000 kwa mwezi na kwa kuanzia malipo ya miezi 6 yatalipwa. kama unayo tafadhali nijulishe.
Nauza Suzuki Escudo Nomade, Air Condition, Redio ya CD, Ya mwaka 1991, Imeingia nchini mwaka 2007 na ilikuwa ikitumika na Waziri mwenye dhamana huko zenj. Bei maelewano but not less than 7m...
Hi Buddies,
I have upgraded to Nikon D90 prosumer camera and don't think I would need my Canon Powershot SX 20 IS around any more.
I bought this great camera at BestBuy and have taken around...
A unique, convenient and relaxing residential community in the Dar es Salaam city center "Bandari Salama", in amongst Ohio, Ghana Avenue, and Mirambo streets. 3 bedroom, living room, dinning...
Jamani nauza M/Benz chassis # 124 engine 102, cc 2000 ya mwaka 1988 iko katika hali nzuri, bei ni poa, nauza ili ninunue pick up kwa ajiri ya shughuli za shamba. Iko Iringa..
wakuu heshima mbele ninatafuta mbwa 2 wakufuga wale wanaosemaga wa police wenye mafunzo ya kupambana na wahalifu najua hapa jamvini akikosekani kitu pls wenye kujua haya tujuzane
These lands are situated in the beautiful area of Upanga, Osterbay, Ada Estate, Regent Estate, Mwenge, Msasani Peninsula, Kigamboni, Kawe Beach, in Dar es Salaam, Tanzania, East Africa...