Hi Wanajamii
Jamani naomba ushauri wenu nataka nunua gari aina ya VOLKSWAGEN POLO/GOLF, naomba ushauri wenu kwa wale wanao yajua magari ya kijerumani.
Kaeni imara.
VINAHITAJIKA VIFAA VYA BAJAJ MATAIRI MATATUL VIFUTAVYO
i-foko
ii stelingi nzima (steering complete)
NB vipya vinapatika ila natafuta vya bajaj ilokwisha lakini vyenye hali nzuri kwa mfano...
ANATAFUTWA MTU MWENYE UMAKINI ATAKAYEENEDESHA PIKIPIKI YA BODABODA
UWE NA LESENI YA KIWANGO ANAGALAU CHA KUENDESHA PIKIPIKI.
UTATAKIWA ULETE TSHS 60,000/= KWA WIKI (NO EXCUSES).
SERVICE ITAFANYWA...
Imeingia nchini ina mwezi, imeshakatiwa motor vehicle na insurance, ni ya cc 1760, 4 cylinder, imetembea kilomita 56,200, bei 11mil, ingawa biashara mazungumzoo, picha soon nitaweka. Kwa...
Habari wana janvi nimeamua kujiajiri na kuanzisha garage katika kujikwamua kiuchumi kama kijana baada ya kufanya kazi ya kuajiriwa na kampuni ya scania kwa muda mrefu,nimeajiri pia vijana wenzangu...
Habari zenu wadau, natafuta simu nzuri yenye internet lakini isiwe blackberry, na isiwe touchscreen, natumia mtandao wa tigo, kwenye tigo kama unatumia blackberry unaweza kulipa elfu 20 na ukapata...
Make: Daihatsu
model: Terios
colour: Dark red mica
body type: Station wagon
yamwaka 1996
bei maelewano ipo kwenye hali nzuri kwa mawasiliano 0715 290116
Nauza 42'' LG LCD TV brand new just imported from UK price Tsh 2M
Pia kuna 32'' SAMSUNG LCD brand new just imported from UK price Tsh 1.5M
Please contact me through pm if ur interested,prices are...
Headquartered in Dar es Salaam, Tanzania – the heart of corporate vibrancy - Genesis Consult Ltd provides superior consulting services, challenging industry standards by serving various...
Wapendwa JF,
Mgao wa umeme hapa nyumbani sasa umerudi. Napenda kuwakumbusha kwamba promotion ya crank box bado ipo valid hadi tar 30.11.2010. Ni Tshs: 15,000/= tu!!
Crank box ni jenereta ndogo...
nauza toyota mark II bei 3.5mil,iko ktk hali nzuri,
ni automatic,4cylinder,nyeupe.
kwa anaehitaji email me through kiswagokiswago@yahoo.com
najuwa wengi wanaponda magari kwa bei rahisi humu...
am going to leave tanzania.
2003 years model, Blue color, Diesel, Manual, 7 Seaters , CD,
93,000 miles.Front and side SRS airbag, Front and rear SRS curtain. Very good condition.
Just arrived in...
kwa wale wanaohitaji pool tables:
zinapatikana kwa bei zifuatazo:
mpya category 1-1.55m
mpya category 2-1.35m
Used-laki 9.5.
mawasiliano ni 0713327429.
karibuni sana.
Habari wanajamii, Naombamsaada wa mtu yeyote anayeweza kunisaidi website ya mishono (mitindo) mbalimbali ya vitenge, vikoi na batiki.
Natanguliza shukurani zangu.
Wakuu nahitaji gari ndogo(saloon) ya kununua iwe ni GX100 Chaser au Mark II.
Bei isizidi 6.5m na iwe ktk hali nzuri na pia lisiwe la rangi nyeupe(white).
Kama kuna mtu analo aniPM..
kuna plot inauzwa ina offer mahali pazuri, ukubwa ni square metter 917, kipo kwenye kona karibu na designated open space. Kipo Block 13 Buyuni, manispaa ya Ilala.
bei ni maelewano, call 0715 92...