GDI/io 1999 model, automatic, white, 5 doors, Reg no.T...AUP. or it was 1st reg on 14/04/08, exterior and interior condition is good, no cracks on the windscreen and mirror or no any rust. It has...
wakuu nimevutiwa na gari aina ya subaru forester so nataka niinunue, naomba wenye m aelezo ya kina juu ya gari hizi na mazingira ya tanzania wanijuze, nitashukuru kwa mchango wenu
nb: nataka...
Kama una shughuli yoyote usisite kuwasiliana na Bilali Mashauzi.Ni mtanashati na mchangamfu sana, Bilal ni kiongozi wa vijana wote na yuko juu.Pasipo na Bilal jua ya kuwa shughuli yako haijakamilika!!
Toyota collora 110-white (1999) (tzs7.4mil), and
toyota corsa - silver (1996) (tzs6.9mil)
both imported june 2010 from japan.
Call: 0715586302/0713299420/0753586302
Email: teddyfide@gmail.com
u...
Habari JF?
CRANK BOX NI JENERETA NDOGO YA MKONO YENYE UWEZO WA KUWASHA TAA 3 ZA LED.
HAITUMII BETRI, MAFUTA YA TAA, UMEME WA JUA AU WA TANESCO KUCHAJI.
Crank Box inatumia nguvu zako tu!!
Ina...
haloo wana jamvi nahitaji mtu anayeweza kunipa mkopo wa milion kumi kwa mwezi mmoja tu interest 10% baada ya mwezi mmoja narudisha 11M.kama yupo rusha namba zako hapa au piga 0754552128
PROMOSHENI BABU KUBWA!!!
CRANK BOX
Kutoka Holland ni jenereta ndogo ya mkono yenye uwezo wa kuwasha taa 3 za LED.
Crank Box haina kabisa gharama za matumizi.
Ni mbadala wa matumizi...
Jamani wana jf nimetingwa nauza kiwanja na matofali kama 580, kiwanja kina ukubwa wa 25mx20m na ninauza kwa 2,800,000/=, location: kiwanja kipo kivule kitunda ukifika Banana unashuka then unapanda...
nissan sunny for sale
year make: 2001
color: Silver
cc 1500
price Millions 6.6 with registration.
imetumika 2months
For serious customer CONTACT: 0713 379 972
Namuombea Mungu amuweka mahali pema Amani Nzigule,mwanaharakati mahiri ambaye alitetea demokrasia kwa nguvu zote hapa nchini,kwa wale waliokuwa Bima enzi hizo nafikiri mtakuwa mnamkumbuka Amani...
Habari wakuu,
Naomba mwenye info kuhusu car dealer / agent yeyote anayeratibu ununuzi wa gari (used in japan or tz) katika malipo ya awamu (esp. hapa DSM) anijuze tafadhali. Mfano gharama ya ni...
wakuu, nataka kuagiza Toyota Hilux Surf 1999 Sports Runner model yenye specifications zifuatazo: year 1999, odometer 74,000, 2700 cc, automatic, petrol, 3RZ engine. kama kuna mtu anafahamu...
Nyumba ina vyumba vinne ikiwemo master (chumba kimoja kikubwa kimefungwa taa maalumu za kusomea), sitting na dinning jiko na store yake, public toilet, full tiles (jikoni na vyoo full hadi kuta)...
Wakuu salaam!Eee bwana nauza gari aina ya Coaster kama ifuatavyo!
Model:HDB31
Aina:TOYOTA COASTER
MODEL yake ni Box Body
Engine type:1 HDT
Year of Manufacturer 1990
Year of Ist Registration in...
Ipo katika eneo zuri. (mwananyamala)
Nyumba pamoja na eneo kubwa la kujenga nyumba nyengine.
Bei maelewano.
Ipo sinza jirani na flat za BOT.
Bei poa
Serious buyer tafadhali piga 0715 262 431
Naomba msaada jinsi ya kutengeneza mandazi ya kumimina(sina uhakika na jina)
Huku nilipo sasa hivi vitafunio ni Toast,bacon,sausage and baked beans(english breakfast), hii imenishinda na...
Naomba msaada, nahitaji gari kwa ajili ya kwenda mkoani iwe imara na ikiwezekana nipate 4x4.
Nahitaji kwa wiki moja tu. Kama itapatikana kuanzia Jumatano ijayo basi tuwasiliane kwenye PM yangu.