Hi, nina cresta reg AWY ipo kwenye hali nzuri naiuza 7.2m millage 120000 model 1998 rangi ni cream (palewhite) ina alloy rims DVD radio, kama upo interested nipigie/nitext 0786 66 67 67.
Tafadhali .Naomba msaada kwenye mambo ya fuatayo kuhusu Design ya Gazeti(Tabloid)
1 jinsi ya kuset vipimo vya gazeti(Tabloid) la kurasa kumi na sita
2.jinsi ya kuseti center pages.
3. jinsi...
Mwenye Gari DCM TOYOTA(GOBOLE) ambalo ninatatembea au limesimama na bodi yake iwe haijachomwa bei 8M nataka kuanza biashara mbagala mwenge. au hata kama linatembea lipo barabarani, KWa upande wa...
nyumba ni self contained vyumba 3 vya kulala, jiko na sebule
sh. 9mil inaweza kupungua
ipo mbezi juu karibu na baraza la mitihani
ukitaka kuiona wasiliana na namba 0756626298.
Chumba kimoja kwenye nyumba ya vyumba sita vya wapangaji kinapangishwa eneo la sinza Block C walking distance toka Chuo Kikuu cha Da res salaam. Kodi ni shilingi za Tanzania hamsini elfu kwa...
Wakuu habari za leo;
Jana niliweka post kwamba tunahitaji msichana kufanya kazi za secretarial, nashukuru kwa maoni ya wadau kadhaa tumefanikiwa kumpata mtu.
Kampuni yetu ni ndogo na ni mpya...
Wana JF naomba kuelimishwa kidogo kuhusu bei ya magari katika mtandao wa Tradecar view kabla sijamnunulia dada/shemeji yenu, katika pitapita yangu ndani ya mtandao kuna kitu kimenishangaza sana...
Mambo vipi humu ndani?
Wanajamii mwenzenu nataka kununua gari 4WD, ammbayo ni Landrover discovery, please naomba kwa wenye uelewa mnisaidie kuchambua ni aina gani/version ipi ya discovery ni...
Nyumba inauzwa:
Mahali: Yombo Buza - karibu na kituo cha kanisani
Umbali: Mita 100 kutoka barabarani
Ilivyo: Vyumba 2 na master bedroom, kitchen, sebule na stoo
Mengineyo: imepigwa bati...
JESHI la polisi mkoani hapa limelazimika kutumia mabomu ya machozi kwa ajili ya kumuokoa bibi Hadija Kabeya Saloom (70) aliyevamiwa na watu wapatao 50 wakitaka kumuua kwa tuhuma za uchawi...
Habari za hapa jukwaani wakuu, zinahitajika Camera mbili kubwa za digital ziwe either cannon au nikon mwenye nazo achangamke faster, mpya au used(in good condition)
Nimeipenda hii gari sababu kubwa ni cc 650, ni four wheel drive na Pia Ina Turbo.
Jamani mwenye kuijua hii gari vizuri naomba anipe Update please! Please!!
Natanguliza shukrani
MAGARI YANAUZWA KWA BEI NAFUU.WASILIANA NASI .YAMELIPIWA USHURU,IMPORTED FROM JAPAN.
1.Toyota Gaia
year 2001
Petrol
Price 8M
2.Lande cruiser Prado
Pearl II...
EVAG Consulting Firm (T) Ltd is a Tanzania based company which is established and was registered on 12th October 2009 under the Tanzania company act 2002 with registration no 73210 and TIN no...
Nimepata maumivu baada ya kuisahau mahali kwa sekunde chache simu yangu ya Nokia 95, niliyokaa nayo kwa miaka minne na niliyoipenda sana hasa kutokana na camera yake ya 5.8 pixels, ikapata...
Hofu ya kusakwa kwa viungo vya walemavu wa ngozi imeibuka upya baada ya watu wasiojulikana kudaiwa kufukua kaburi la mlemavu wa ngozi katika kitongoji cha Izengwabasumba katika kijiji cha...