Tatizo la MALARIA ni sugu sana kwetu lakini cha ajabu ni huy kijana ndio ameleta mwamko katika ulimwengu na sisi bado tunapiga gumzo vijiweni wasomi wetu mko wapi
Web guru targets malaria with...
Asalaam alykum,
Ndugu zangu, kwa huzuni nawapa taarifa kuwa ndugu yetu,kaka yetu na mwenzetu Omari Lambi alifariki jana hapa London katika hospitali ya university College Hospital -Euston kutona...
Tumejaribu kuwaletea burudani kwenye KLHN. Burudika na vibao vya kwetu hadi uchoke. Huwezi kudownload though ni burudani ya masikio yako tu. Kwenye ukurasa wa mbele chini ya "Google search"...
Hi, bandugu!
Nimeona kuna watu humu wanaulizia computer. Kuna laptops 2 zinauzwa kwa TShs 600,000 each. Ni refurbished Toshiba, pentium 4 laptops kutoka US. Hard disk: 40GB; RAM: 500MB...
Hello members,
Nahitaji Desktop computer yenye specs nzuri. Nimepata Quote moja lakini napenda kuwa na hakika kuwa sijapigwa changa la macho. Quote yenyewe hii hapa chini:
"Hi the dell PC...
Wakuu,
Imebidi nitafute internet kukanusha taarifa ya kukamatwa kwangu. Bahati mbaya nimekuta ile thread husika imeshafungwa na imebidi nianzishe mpya.
Ni hivi, sijahojiwa, sijakamatwa wala...
Kwa sababu ya kuuliza swali la EPA
nimepata taarifa usiku wa manane
sijui whats going on lakini nipeni couple of hours unless mwenyewe aje humu ndani kutupa updates
ASSALAM ALYKUM WARAHMATU-LLAHI WABARAKATU. Jamani tulikuwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu SAIDA SAID GHARIB au jina la hapa la kisomali ni AISHA SAID GHARIB aliefariki hapa uingereza kwa hio...
Jamani nikiwa UK nataka kujua Card gani ya kupiga Bongo nzuri kuliko zote? Ipi inakupa minutes nyingi na haiibi kwa sana. Talk home used to be good ila sasa wameniboa. Nipeni mawazo yenu mlioko UK.
It is with sorrow and regrets that I inform you about
the passing of Mrs Suma Mwankenja Ngonyani who died
in the early hours of Monday March 24, 2008 in Lansing
Michigan.
The late Suma was...
Siku ya Jumapili tutakuwa na matangazo live kujadili yale yatakayokuwa yamejiri kutoka Butiama. Tuna vijana wetu kadhaa ambao wanatarajiwa kuwasili mapema Jumamosi asubuhi kuweza kuanza...
Ingia kwenye http://www.ubroadcast.com
Download player kwenye sehemu inasema "Listen"
Ikishadownload, andikisha na uifungue (vyote bure)
Kwenye mahali pa kujaza namba ya station ingiza namba...