Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Simu iwe katika good condition.isiwe na shida yoyote....narudia tena isiwe na shidaa teyote....kuna 120000 hapa...isiwe tecno Kama huna soma kimya kimya na upite pembeni.. Bajeti ni 120k...
1 Reactions
11 Replies
619 Views
Tunauza viwanja vilivyopimwa Vikindu kwa bei rahisi. Eneo: Marogoro, ukubwa futi 60*60 bei 900000. Eneo: Magodani ukubwa futi 60*60 bei 1300000 Usafiri tunatoa bure hadi kwenye viwanja kwenda...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Bunju kinondo Mradi huu una huduma zote ikiwemo shule, maji na umeme. Pia hospitali ya wilaya Kwenda kuona ni Bure Kila siku tupigie 0620175964
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nahitaji vifaa vya saloon ya kike kwa bei ya used mwenye navyo plz nichek 0783414538
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Welcome mpendwa mteja Aah @canvas_tanzania_sale inapenda kuwatangazia bidhaa zetu za design za picha za ukutani zenye mapambo mbali mbali au picha za familia (CANVAS PHOTOS) TUNA YA, Full...
2 Reactions
7 Replies
5K Views
Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni self contained na sitting...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
TVS hio. Cc 125 gia 4. Imetumika mwaka mmoja. Full document. Bei 1.3mil. Iko Nyakato Mwanza Piga 0623865841 tuongee biashara.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na wingi wa uhitaji na kuifany jamii iweze kuacha kwa haraka matumizi yote ya mifuko ya plastic. Tumetoa offer ya Tsh.75,000 kwa caton Ambayo ina PC 1000 kwa Aina zote hapo juu Karibu...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Hii ni kwa wale walioko Arusha Mjini, na taa za magari yao zina ukungu au zimepauka. Tunang'arisha taa hizo kwa kutumia kifaa maalum na kuzirudishia mng'ao wake kwa gharama nafuu kabisa. Tupigie...
0 Reactions
2 Replies
666 Views
Feni inauzwa Brand:Evernal Bei: 50000/= Piga simu no: 0653499987 Mahali: Dar es salaam - Gongo la mboto
0 Reactions
0 Replies
688 Views
Tunauza mashine ya kutengeneza chakula cha mifugo cha chenga chenga (pellet mashine). mifugo kama (Kuku/samaki&sungura) ✓Inatuma umeme wa majumbani. ✓Inauwezo wa kuzalisha kilo 150 Kwa lisaa ✓Hp...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nahitaji kuwasiliana na kampuni zilizo sajiliwa na zenye ofisi Tanzania, ambazo zina uwezo na uzoefu wa kuagiza electrical, mechanical na instrumentation equipment and parts. Kampuni iwe na...
0 Reactions
0 Replies
478 Views
Wana bodi habari, kama mjuavyo tuko mbioni kuelekea ktk mavuno ya nafaka mbalimbali, mwaka jana nilijaribu kuhifadhi mahindi ktk viroba vya kunga njaa! ilikua ni viroba viwili tu kwa ajili ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Maximum resolution 1080P.......light source LED.....Bult - in dual speaker,.....Aspect Ratio 4:3/16:9.......Projection Size 34 - 180 inchies....Connector suport.HDMI,USB,VGA,AV,TF,AudioNi brand...
0 Reactions
37 Replies
2K Views
Viwanja vilivyopimwa vinauzwa Pangani Vipo jirani na machinjio ya soko la Loliondo Maji na umeme upo na kwenda kuona ni Bure Kila siku Tupigie 0620175964
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nawasalimu nyote. Kama mada inajielezea, naombeni wanajamvi mnisaidie sehemu ya kupata mashine ya kukata mabox na box boards kwa ajili ya keki. Nipo Mkoa wa Geita takriban mwaka na zaidi sasa...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana JF Mimi ni mjasiliamali kwa ujumla ninaemiliki kitalu cha GYPSUM POWDER NA GYPSUM STONES maeneo ya Bendera Mkomazi karibu Bwiko Barabara ya kutoka Dar. Gypsum powder yetu ni sulphate...
2 Reactions
1 Replies
820 Views
Simu inauzwa Laki 9 Brand ni Iphone11 plain Ni mpya imetumika miezi 2 tu! Mahali ilipo ni Mbezi Mwisho Dar es Salaam Mawasiliano - 0688986066
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza HP Slim Laptop Core i7 3rd Gen HDD: 260GB 8GB RAM Backlight Keyboard; Keys 7, L, T, 2 , 5 hazifanyi kazi. Case yake ya nje imechakaa[emoji28] Battery inakaa 1hr na dk 40 Inachaji vizuri...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom