Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari za asubuhi, Naombeni kujua sehemu gani nipeleke nguo zangu zifuliwe na kupigwa pass vizuri kabisa maeneo ya Mbezi Mwisho, ilipohamia stend ya magari ya mkoani. Msaada wenu wakuu?
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habar wana JF mm nina ndugu anatafuta kazi tajwa hapo juu,nifundi mzuri na anashona vzur nguo za kiume na za kike!kwaio naomb mweny kuhitaji mfanyakaz wa hio kaz anitafuta, natanguliza shkran
0 Reactions
19 Replies
5K Views
Habari wana elimu, kama title inavyojieleza hapo juu. Nauza softcopy ya vitabu vya maswali na majibu kwa combination ya PCM. Kuna vitabu vya topics kama 1. Organic Chemistry Questions & Answers...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
ROYAL SECURITY SECURITY SOLUTION Inakuletea alarm security system . Lala bila wasiwasi sasa kifaa hiki hutakiwi kukikosa nyumbani kwako ni kifaa kidogo unachokifunga mlangoni, dirishani au kwenye...
0 Reactions
2 Replies
706 Views
Lenovo Ideapad 330 8th Generatio HDD 1000GB/1TB RAM 4GB Core i3 Battery 5hours+ Price Tsh. 550,000 only Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
1 Reactions
23 Replies
2K Views
Nyumba zinauzwa apartment zipo 2 kila nyumba moja inavyumba v3 vyakulala nyumba ipo tegeta wazo kwamakamba bei milion 70 maongezi yapo kalibu 0712943877
2 Reactions
25 Replies
3K Views
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji605][emoji605][emoji91][emoji91][emoji91] Baiskeli za watoto Tsh 140,000/= Mtoto kuanzia miaka 2 mpaka 6. Ni imara na ngumu.[emoji1434] [emoji1370] Kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Velvet Walllaper with stones kali sana Roll moja ya VELVET WALLPAPER ELF 70 Roll moja ina urefu meter 10 Upana cm 53 Gundi pakt moj elf 10 Ufund elf 15 kwa kila roll moja Tupigie/whatsApp...
0 Reactions
0 Replies
669 Views
Katika kuhakikisha kazi yako inakuwa safi na nadhifu kabisa. #watusmartpackaging tunajuza leo mambo muhimu kabla ya kuchapisha mifuko toka kwetu au sehemu nyingine. 1. Artwork /picha Kabla ya...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Lenovo Thinkpad Specs Processor Core i5 Ram 4gb Storage 320gb Finger print sensor. Battery good condition 3hr 650000 fixed price 0739073206
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Kama mada inavojieleza niko Mbioni kufungua chuo cha Udereva kwa ajili ya Mteja wangu mmoja na ninahitaji Mwalimu Mzuri wa udereva ambaye anatakiwa akidhi vigezo vifuatavyo: Awe na notes...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Habari za leo wakuu? Jamani mimi natarajia kuanza kilimo kwa ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, nguruwe pamoja na mbuzi wa kisasa (mbuzi wa maziwa). Naomba msaada wa ushauri na maelekezo kwa wazoefu...
3 Reactions
24 Replies
9K Views
Aina: Hp Sifa: Hard disc 150GB, Ram 2GB Ilipo: Dodoma Mjini(Jiji) Bei: 250,000/= Mawasiliano: nitumie Ujumbe(PM)
0 Reactions
7 Replies
968 Views
Lenovo Mini laptop for sale hard disk 250gb Ram 2gb core2duo Good condition price 230000 inapatikana karume Dar es salaam contact: 0757870230
0 Reactions
1 Replies
810 Views
Mdau yeyote mwenye uzoefu na hayo magari na anauza naomba tuwasiliane kwa namba 0712946988.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Waungwana natafuta soko la samaki waliokaushwa na moshi toka mtera kama una link na maeneo ntashukuru pia. Mzigo upo wa kutosha.
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Nauza Mtungi wa mihani gas kwa sh 20000 tu. Eneo Kibamba Mbezi mwisho Dar es Salaam. 0659130177.
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Nina decoder ya dstv nataka kubadilishana na mwenye Azam. Location: Dar es Salaam
0 Reactions
5 Replies
816 Views
Back
Top Bottom