Wanabodi habari...
Kichwa Cha habari chahusika
Nina milion 2 tu natafuta kiwanja Dodoma eneo la Msalato au Veyula. Kiwe na ukubwa was nusu heka na kuendelea. Umbali kutoka barabara ya Dom arusha...
Nyumba hii ina vyumba vitatu 3 vya kulala chumba kimoja master dining room public toilet jiko stoo na sitting room
Kwa tshg million 28,000,000/=
Ukubwa wa eneo sqm 400
Ina hati ya ofisi ya...
habari zenu wadau wa JF.
kama kichwa cha habari, natafuta office ya kupanga eneo kuanzia kivulini mpaka roundabout ya Mwenge. Office yaweza kuwa ground flow au hata gorofani.
Nb: office iwe...
Salam kwenu wakuu.
Picha ambatanishi ni boma la nyumba yangu,lipo Tanga Mjini-Neema area.
Lina vyumba vitatu.
Masterroom 1
Vyumba vya kawaida -2
Sitting room
Dinning room
Kitchen na store...
Sifa za kiwanja
Chanika mwisho-Zogo Ali
Ukubwa 19m*19m
Kina msingi imara, vyumba vitatu, kimoja master, sitting, dinning, public toilet, jiko
Kina njia za gari pande mbili
Umeme upo karibu
Simu...
Tsh. 180 MILLION NEG, KIFURU HALI YA HEWA, NJIA YA KUELEKEA MBEZI LOUS SUITABLE FOR, school, hospital, yard 🎁2 Acre SIZE🗞️Surveyed Area with beacon☎️0767264754/0739441351
Ndugu mdau kwa umeme wa majumbani na viwandani.
Unaweza kupata huduma kama vile marekebisho, ujenzi mpya wa mifumo ya umeme, ushauri au suluhisho la tatizo katika mifumo ya umeme, ukaguzi...
Nahitaji kupata mwanga kuhusiana na biashara ya vifaa used vya mtumba vya electronic ni biashara ambayo pia navitiwa nayo Sana nahitaji niweze kuifanya hata nikianza na kidogo nione mana...
Karibu!
Nakaribisha mfanyabiashara yoyoye ambaye ni SUPPLIER wa bidhaa mbalimbali, uniambie una supply nini na bei zako zipoje. Naweza kua mteja wako, mana nami pia ni mfanyabiashara. Nitakua...
NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA JAN 2021
Shule ya Sekondari ya wavulana Helasita iliyopo Jijini Dar es Salaam inapenda kuwatangazia ndugu wazazi/walezi kuwa bado kuna nafasi za kujiunga na...
kabati la nguo-250,000
feni-35,000
shoe stand -50,000
meza ya tv-35,000
mtungi wa gas (una gas)-40,000
kitanda -130,000
godoro-120,000
Mabibo
0711251922
Wadau nahitaj bati za rangi bei nafuu kidogo migongo midogo au mipana maana huku mtaan n mkas sana nahitaji PC 110!njoo na bei ya kiwandani kabisa na nielekeze wapi tufanye business
Tunauza paving blocks za aina tofauti tofauti kwa square meter moja elf 30 usafiri juu yetu ila kama eneo lako lipo chini ya square meter 50 usafiri unajigharamikia na wall panels za ukutani...
Hello Jf.
Karibu nikuuzie gari kwa bei rafiki.
Hii gari ni mali ya kanisa iko vizuri na bado nzima.
Corola 111
Mileage: 140,000
Petrol engine, engine ni nzima
Njoo na Fundi wako akusaidie...
Nauza simu
Specifications
Name: camon cx air
Released 2017
Thickness 6.6 mm
Storlage 16 GB
Camera 16 MP
2GB Ram
3200 mAh
Nmeitumia mwaka mmoja
Bei 60000 tu.
0757402662
Location kimara
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.