Xmas offer Bei ya Punguzo
JIPATIE
OPAY M1 lite
Full view display
Fingers print
3000mAh battery [emoji367]
2GB Ram
16 Gb
Front camera 5.0 MP
Back camera 8.0 MP
Full box SEALED
Bei 135000...
Habari wanaJF,
Kama jina la mada linavyosomeka, mimi natafuta fundi mwashi mzoefu hususan katika mambo ya ukarabati wa nyumba.
Kwa vile JF ni jukwaa lenye mchanganyiko wa kila aina ya watu wenye...
Habari zenu wadau wa jukwaa la biashara.
Mdau mwenzenu nimewaza sana biashara ya kufanya baada ya kudunduliza kwa mda mrefu sana Tsh 10 millions na nikakopa 10 million jumla nna 20 million...
Very unique Star X rechargeable wall fan..sofa za hili fan ni kua linajichaji wakati linatumika kwaiyo umeme ukikatika linaendelea kufanya kazi Kwa muda wa saa7 na umeme ukirudi litaendelea...
Wasaalaaam ndugu! Nashida na unga wa majani ya mlonge nitapata wapi nipo Shinyanga kwa sasa.
Nmekunywa madawa sana kwa ajili ya tiba mbalimbali najihisi mwili mzito baaada ya kufuatilia nmepata...
Natafuta chumba Master na sebule maeneo ya Kimara Baruti mpaka Suka au Goba center kurudi Mbezi Beach.
Ikijitegemea luku nzuri zaidi na parking Muhimu Pia Offer Yangu laki moja (100,000)...
Ndugu naomba yeyote anaejua mashine za kufyatua matofali matofali ya udongo Kwa Mfumo wa kisasa anielekeze na bei yake.
Mpaka sasa tofali za udongo za kuchoma ndzo zinatumika sana kwenye ujenzi...
Nyumba mpya inauzwa ipo mjini Chanika Mwisho.
Kwa tshg million 21,000,000/=
Ukubwa wa eneo sqm 400
Nipigie:+255 6 28 00 82 18/+255 7 54 90 80 45
Nyumba hii ina vyumba vitatu 3 vya kulala...
Napatikana Dar Wilaya ya kinondoni, kata ya Kawe, kwa mawasiliano 0625959542.
Unapata kitanda cha 5*6 na bed side zake mbili....wahi kabla ya offer haijapita.bei ni 250000 fixed.
Karibu sana.
HII NDIO KAMPUNI BORA YA USAFI TANZANIA
[emoji3591] TUNATOA HUDUMA ZA USAFI WA NYUMBANI [emoji537] NA OFISINI [emoji539]
@mrusafitz @mrusafitz @mrusafitz
[emoji117] Kusafisha
[emoji819]...
Kwa Dar wapi naweza kupata nguo nzuri za mtumba kwa bei nafuu?
Kwa wauzaji wa nguo msaada please au Kama sio muuzaji na unamfaham muuzaji fanya kuconnect hapo.
Kwa mhitaji wa nyumba hii njoo chapu ufunge mwaka vizuri:+255 6 28 00 82 18/+255 7 54 90 80 45.
Kwa tshg million 30,000,000/=
Nyumba hii ina vyumba vitatu 3 vya kulala chumba kimoja master...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.