Nyumba inauzwa
Ipo kibada kigamboni 135 milion.. Negotiable to serious buyers
Call 0744033555
Nyumba ina vyumba vitatu
Master bedroom
Choo public
Maji + umeme guaranteed miaka mia
Full...
Fencing wire zinauza, Kama utahitaji na hizo chuma zake Bei itapoa kidogo.
Fensi imetumika miezi 4, ilinunuliwa mwezi wa Kwanza Kisha ikazungushiwa kiwanja ambacho hakikuwa ramsi kwa mhusika...
Wakuu wasalam
Nataka kuuza nguo za mtumba hasa zakike mfano magauni, top na jinsi lakin sijajua machimbo ya nguo haya yapo wapi,
Kama hapa dar basi niambiwe wapi naweza kupata belo kali kwa bei...
Naomba kufahamu kwa mtu aliyewahi kuaguza kitu china na akatumia njia ya "Aliexpress Standard Shipping" au njia yoyote isiyokuwa na tracking.
Atajuaje kama mzigo wake umefika?
Nina Mashine mbili za CarWash (Umeme &Petrol), Pamoja na Tank la kiboko (1000ltrs) vyote naviuza. Tank lina Koki kabisa, Bei ni kama ifuatavyo;
Machine ya Umeme TSh 400,000
Mashine ya Petrol TSh...
Bravofashioncode tunashona na kudesign nguo za aina mbali mbali na matukio yote kama harusi sendoff, engagement, vipaimara UNIFORM za wanafunzi,makazini na kweny mahoteli kwa gharama nafuu sana...
Nauza vifaa vya salon ya kike vifaa vyangu ni original na havijatumika muda mrefu draya 2 na blow dryer location ni arusha mjini ,maongezi yapo Karibuni
Pikipiki aina ya fekon namba B inauzwa. Tsh laki 8 na nusu
Fekon namba A laki 7 na nusu.
Document zote halali za umiliki zipo.
Dar, Mbagala
Tuma sms ya kawaida tufanye biashara 0744033555
Nimeulizia kwa maduka mbalimbali bei ya Printer ya Epson L382 mpya ila majibu yake yameniweka njia panda maana nimejibiwa bei zifuatazo katika maduka matatu niliyoulizia.
1. TSH 420,000
2. TSH...
Mimi ni Civil Technian nimejiajiri hapa mjini, kwa nature ya kazi yangu ninakuwa na mizunguko ya kukagua kazi zangu au kuwa na sites visit. Nahitaji gari dogo la kunisaidia kwenye mizunguko yangu...
Shukrani nyingi kwa wana JF, kwa kuwa msaada katika nyanja mbalimbali.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo eleza, naomba msaada namna ya kupata dawa inayoitwa TREVO.
Nina mgonjwa tumeona...
Nilimsikia waziri wa fedha Dr Mpango akiwaambia watumishi wa Hazina kwamba fedha zinaliwa sana kwenye halmashauri kwa kutumia utaratibu wa sasa wa " Fosi Akaunti"
Jana nikamsikia waziri wa...
NYUMBA NA ENEO LAKE LAUZWA...
TSh25,000,000
Dar es Salaam
Nyumba inapatikana TEGETA WAZO ENEO LA UWANJA WA PANGA...
Zipo nyumba mbili katika eneo moja...
Kubwa ni ya familia vyumba 3 na sebule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.