Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari, Naitwa Daud Benjamin mhitimu Chuo Kikuu IFM Dar es Salaam mnamo mwaka 2019. Nina degree ya Social Protection. Kwa sasa ninaishi Mbeya. Dar es salaam nilihama kutokana na gharama za maisha...
0 Reactions
7 Replies
954 Views
Nauza laptop ina shida ya HDD na touchpad Bei 100,000/= fixed Ram 2gb Screen inchi 13 Cpu 2.1ghz Bettery 3hrs Model ACER Whatsapp 255659749219
2 Reactions
7 Replies
870 Views
Wakuu kama kuna anaejua bei ya kodi ya zile apartments za Pale nyuma ya jengo a umoja wa vijana wa CCM naomba atujuze. Kama kuna any other additional usefull informations about zile apartments...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari za leo wanajamiiforums? Nauza kiwanja Safari City Arusha, Kiwanja kina square meters 396 kila square meters moja ni =35,000 35,000×396=13,860,000 Kiwanja kimepimwa kulingana na mipango...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari, FURSA YA AJIRA KWA VIJANA NA WATUWAZIMA ELIMU KUANZIA - KIDATO CHA NNE NA KUENDELEA. PLATINUM CREDIT - KANDA YA MOROGORO Tunatangaza nafasi za AJIRA mpya idara ya MAUZO -KANDA YA...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
UFUNDI:- NAmini hivi Chuo vinaleta mchango mkubwa wakubadl muelekeo wa vijan wetu hasa katk kuji ajir na kipato Nafasi za Masomo VYUO vya serikali (FDCs..Focal Dev College) Jan 2021/2022 kwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Imetumika miezi miwili tu, na iko complete (body, lens ya 24-105mm, speedlight, slots cards 4, charger pamoja na battery kama inavyoonekana kwenye picha Bei 3.7m (lakini kuna mazungumzo) Kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari; Kwa Kila mteja unaniletea; unapata chako mapema. KUSAJIL KAMPUNI -jina la Biashara -limited caompany -partneship HESABU ZA KAMPUNI(FINANCIAL STATEMENTS) KUANDIKA MEMORANDUM...
0 Reactions
0 Replies
509 Views
Wadau habarini. Ninatarajia kufungua Kituo Cha Mafuta, awali nililipenda jina la kituo liwe OTTO OIL Service Station. Nimeangalia BRELA jina hili limeshatumiwa. Nililipenda jina hilo la OTTO kwa...
8 Reactions
201 Replies
17K Views
Salaaam members. Natafuta frem maeneo ya mtongani, Wailes, mwembeyanga, buguruni, bungoni, na maeneo ya karibu na hayo au kama unauza Duka la bidhaa za nyumbani kama unga, mchele, pipi, vocha n.k...
0 Reactions
1 Replies
868 Views
BMW 1 Series, inauzwa, Tsh 15 milion. Namba T.... DTM Ina miezi saba tu toka inunuliwe Kilometre 95,856 Engine capacity: 1590 CC Engine type: Petrol Colour: black Seat capacity: 5 people...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
*SMILE WE CARE (SWC)* *Inafanyaje kazi?* Unapotoa pesa ya kufungulia account yako *$10 = Tsh 23,000/=* Usajili wako utakamilika muda mchache sana Na papo hapo unakua member tayari, *Stage ya...
1 Reactions
34 Replies
7K Views
Hi wana JF, Nahitaji kufahamu masoko yenye bei nafuu ya nguo za ndani za kike na kiume na kama wana account mitandaoni niwasiliane nao Naomba msaada tafadhali.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Uandishi matangazo...maandishi yana nguvu pale yanapotumiwa, kumshawishi mteja anunue huduma au bidhaa. Kuna watu/wafanyabiahara na wajasiriamali wengi wanatumia fedha nyingi kujitangaza...
1 Reactions
0 Replies
382 Views
Wakubwa Habari Zenu, Kwa anayejua bei ya jumla ya Memory Card 128MB hapo Kariakoo anijuze maana nataka nizifuate huko baada ya mipaka ya ardhini ya Kenya, Uganda na Rwanda kutoonyesha dalili ya...
0 Reactions
43 Replies
3K Views
Dume la mbuzi wa maziwa wale wanaozaa mapacha Dume moja linaweza kuboresha kizaz cha Mbuzi wako hata kama sio Mbuzi wa maziwa Njoo tuzungumze Njoo tukufundishe Njoo tukushauri #mbuzi...
1 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari wana jf nina kiwanja bei yake ni mil 7 ila bei inashuka unaongea una kiasi gani nina shida nauza hiki kiwanja ni changu mwenyewe Kiwanja ni changu mwenyewe sio dalali Kiwanja kipo...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
ACHA KUTUMIA WINDOWS ZILIZO KUWA CRACKED ZINA VIRUS NA MALWARE KUFANYA MASHINE INAKUWA SLOW . JIPATIE GENUINE WINDOWS LICENSE KWA 30K TU. CONTACT: WHATSAPP - +255688646309
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Nauza nyumba yangu (40ML.) 4 rooms one Master bedroom, Dining room,Seating room, Public toilet,Store nje fremu 2 tayari Maji Umeme ipo Mbweni karibu na chuo cha Jeshi karibu sana atutashindwana...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
MEZA YA DINNING MNINGA MPYAA KABISAA meza ni mninga tupu urefu futi 6 upana futi 4 Viti vyake vya sofa vipo 6 best quality Price 1,200,000 Nipigie kwa namba 0675326254 Nipo Tabata Segerea
2 Reactions
41 Replies
6K Views
Back
Top Bottom