Tuanzie hapa:
Jaribu kutembelea website ya NECTA, halafu angalia matokeo ya wale waliofanya Mitihani ya kidato cha nne kama Private Candidates mfano Resitters ama QT
Angalia matokeo ya vituo...
Na steshenari yangu ipo maeneo ya Mbezi Beach afrikana nafanya huduma ya mobile stationery nakufata mpaka sehem ulipo huduma nazo toa ni kama vile.
Natoa mikataba yote ya mauziano mikataka ya...
Hivi Meza zile za plastiki huwa ni bei gani kwa mpya zile zinazotumika kwenye migahawa au kwenye Bar.
NB:Nipo nje ya mji na zinahitajika, kwa wanaojua mnijibu tafadhali.
Je, biashara yako inahangaika kupata wateja wa kutosha Online? ...Je, unafanya matangazo ya sponsored lakini hayakuletei wateja kama unavyotaka? Unaishia kupata likes tu
Je,unatamani kweli...
Habari wana Zengo,
Rafilki yangu anaitaji piki piki boxer ya kununua.
Yupo Dar es salaam.
Piki piki iwe namba B au C
Nahitaji mbili 125 au 150
Ofa yangu ni 850000 kwa kila moja karibuni PM...
Kabati ni ndefu sana.
-Ni ya kisasa zile zisizokuwa na mlango,unaweza kudisplay chochote kuanzia mikoba,nguo na vitu vyako vidogo vidogo.
Ina droo kubwa mno ya kuhifadhia unachokipenda
-Ni ndefu...
Wanajamvi nina wazo la kufungua kiwanda cha maji ya kunywa (kama kilimanjaro,uhai,sayona).
Mwenye ufahamu juu ya initial cost na mitambo ya kutengeneza na ku purify maji and the whole process juu...
Haina haja ya kuingia madukani kutafuta kifaa kimoja kimoja, kwa mtaji wako njoo uchukue saluni nzima ukaanze kazi.....
Hapa kuna.
1. Kiti cha kunyolea na kusubiria
2. Kabati ndogo ya vifaa
3...
Wandugu karibuni, wale wapweke na wanataka kuunganishwa na wenza wao (watarajiwa) tuonane kesho tare. 3/12/2016 kwenye NYAMA CHOMA FESTIVAL, Banda letu utaliona ukiingia geti kuu, mkono wa KUSHOTO.
Wakuu habari zenu.
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Kuna nyumba inauzwa hapa Kinondoni. Hii ni nyumba ya ndugu yangu. Sababu ya kuiuza ni Kuna mambo yake anahitaji kuyaweka sawa ambayo ikienda...
Majina yote haya hutumika kuelezea dawa kiboko ya nguvu za kiume yenye ufanisi kwa asilimia mia.
Ni dawa yenye asili ya mimea tu na haina madhara kwa mtumiaji. Itakufanya udumu kwenye tendo la...
Fridge hilo hapo kama linavyoonekana pichani...HALIJATUMIKA SANA...LINA GAS YA KUTOSHA.
Lina Warranty ya Miaka 2.
Lipo safi kabisa zima...ENERGY SAVER, LINA FRIZA NDANI LINAGANDISHA SANA...
Natafuta mtu humu mwenye Freezer ndogo aniuzie. Kuna kakijiwe kangu nataka kukamilisha.
Dukani najua zipo ila natafuta ya bei rahisi. Mimi nipo Tunduma, karibu PM tulonge Z
zaidi kwa aliye na...
Wadau habari,
Nimepata mtaji wa sh. M1.5 nafikiria niizungushe kwenye mazao makavu. Msaada kwa yeyote anaeweza kufanya biashara na mimi ili nimlangulie shambani nimletee sokoni. Mimi nipo Mahenge...
1. Tuite tukupikie kwenye shughuli yako kubwa ndogo, tunakuja popote hata mikoani tupo Dar.
2. Unaweza kununua vyakula vyako tukaja kupika tu.
3. Pia tutaweza kukukadiria vitu vya kununua...
Habari za Jion WanaJF
Naomba kuuliza mtu yoyote ambae anajua machimbo pale Kariakoo au sehemu nyingine Dar ambapo naweza pata laptop kwa bei nafuu new au refurbished. Msaada tutani wandungu
RAUM OLD MODEL
BEI:MILIONI 3.8
ENGINE:5A,1490CC
MWAKA-2000
FUEL-PETROL.
GEAR-AUTO.
FULL AC.
FULL DOCUMENTS.
LOCATION-CHANG'OMBE VETA-DAR
NB:MIMI NDIYO MMILIKI WA GARI
Habarin wana jamii forum naomben kujua ni wapi naw3za pata huduma ya kutrack gar au bajaj yangu kwa kufunga mitambo ktk bajaj na kuweka app kwenye simu yangu ili niweze kutrack chombo hicho...
Inafanya kazi zote 3 print scan copy
Matumizi mazuri ya wino print page 15000
Inatumia wino 4 vitenki vya nje na ni rahisi kujaza unapoisha.
Printer imetumika muda mfupi miezi 3 haikufanyia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.