Salamu wadau.
Natafta nyumba ya kupanga single room au mini self.
Iwe karibu na mjini (karaikoo). Iwe na tiles yenye usalama na choo cha kujitegemea.
Budget yangu isizidi 50k kwa mwezi bila...
Teknolojia mpya
USIHANGAIKE KUCHIMBA MASHIMO KWA AJILI YA CHOO
Kwa watu ambao wamejenga maeneo ambayo ya maji mengi (high water table level-HWTL) kila ukichimba mashimo kwa ajili ya majitaka...
Kama kichwa kinavyojieleza apo juu. Natafuta mtu wa kushirikiana naye katika biashara ya samaki wabichi hasa Perege na Kambale. Yeye kazi yake itakua kunitumia mimi huku Dar kisha mimi kazi yangu...
Nauza gari aina ya Subaru Forester, mwaka 2004. Namba ni T 586 DEB. Gari ipo kwenye hali nzuri sana. Tairi zake pia bado mpya. Na haina tatizo lolote na haijawahi pata tatizo lolote. Bei ni...
Brand infinix
Model note 7 lite
Ram 4GB
Rom 64GB
Network 2G 3G 4G
Camera
Nyuma mp 48
Mbele mp 8
Battery mah 5000
Unlock Fingerprint face id
Bei 245000
0657230449 call msg whatsup
Dar
Wadau wa biashara ya samaki naombeni msaada wenu. Ninataka kuanzisha bucha la samaki lakini kuna mambo kadhaa sijapata taarifa zake kamili hivyo naombeni msaada wenu.
1. Ninaweza kuwapata wapi...
NYUMBA INAUZWA
Mahali: Tabata kinyerezi
Ukubwa wa kiwanja: 770 sq. M
Namba ya vyumba: 3masterbedrooms, sebule, jiko, Choo cha jumuiya na stoo.
Huduma: umeme na maji yapo.
Bei: 90...
____________________________
Ni watengenezaji we vifaa vya Alminium kama vile
[emoji2389]Madisha
[emoji2390]Milango
[emoji2391]Makabani
[emoji2392]Office partition
[emoji2393]Balcony...
Habari ndugu,
Nataka kufunga car alarm system kwenye gari langu lakini sina utaalamu wa kujua ni kampuni gani napata car alarm nzuri na imara.Nataka car alarm system angalau isivuke tsh 200,000/...
NYUMBA INAPANGISHWA
Nyumba Ina sebule, jiko, kabati, Choo na chumba kimoja.
Mahali: Tegeta kituo cha Namanga karibu na Rabininsia Memorial Hospital.
Huduma: Maji, luku binafsi, heater, DSTV na...
HUDUMA INAENDELEA KUTOLEWA HAUJACHELEWA
🔥🔥🔥🔥HOME TUITION PROGRAMME (HTP)
IN DAR ES SALAAM 0784214792/0620875813
#Likizo Time Muda ndo huo
Mwalimu wa Geography and Biology kwa wanafunzi wa 🌏FORM...
WanaJF naomba msaada unaponunua gari kwa mtu kitu cha kwanza kufanya kabla yakuendesha ni kubadili kadi ya gari au ni kwenda police kuandikishana? Pia nasikia kuna mkataba wa kuiziana huo mkataba...
Wapendwa Wana jamvi,
Nimeamka na dharura ya kumsafrisha mgonjwa na Mambo yangu siyo mazuri.
Nalazimika kuuza laptop yangu( Kama unaweza nisaidia kupata mtu wa haraka wa kuniokoa)
Walau kufikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.