Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Tunamashine mpya za kukamulia juice ya miwa ➡ Zinatumia betri hvyo unaweza fanya biashara hata mahali ambapo hakuna umeme, ➡ Bei ni 2.3 ml 📞±255657291795 WhatsApp kwa maelezo zaidi .
0 Reactions
7 Replies
2K Views
TCL android TV inch 32 kwa laki 3 na 70 tu (370,000) Netflix,Bluetooth,google play store ,WiFi Storage 4GB, Location: Boko Bunju daresalaam Simu : 0625875487
0 Reactions
1 Replies
742 Views
Habari wana jamii. Ninahitaji eneo kwa ajili ya biashara ya vitafunwa. Eneo linalohitajika liwe na mzunguko mkubwa wa watu (high foot traffic) na ni vema kama watu wanakesha usiku kucha. Kwa sasa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanajamvi. Nahitaji kukodi Friza, Juisi dispensa na jiko la kuchomea nyama kwa siku moja tu ya tarehe 12/12/2020. Nipo Dar na nitavihitaji kwa ajili ya shughuli Dar. Tafadhali mwenye navyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyumbani Business Plan LTD Tunaendelea kukukaribisha uweze jipatia huduma bora na zauhakika kwaajili ya kutimiza malengo yako na kutimiza malengo ya biashara yako. Biashara yako ni rafiki yetu...
1 Reactions
3 Replies
507 Views
Kitabu hiki kinapatikana Mkoa wa MARA, DAR ES SALAAM, MOROGORO NA MWANZA. Kwa watu waliopo maeneo hayo au jirani na maeneo hayo wasiliana na mawakala wetu. KUPITIA KITABU HIKI CHA UMUHIMU WA...
0 Reactions
3 Replies
645 Views
habari.. Wadau kuna dogo amemaliza form 4 anadai anataka kusomea kompyuta.je ni kozi gani nzuri(inayoenda na upepo wa ajira kwa sasa) asanteni..
1 Reactions
17 Replies
6K Views
kuna kifurushi cha Azam pure cha mpira kinaisha tarehe 7 kimetumika miezi 2 tu 0686426298 Dar 100000/=
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hizi Ni full Ngozi kuanzia inner soli mpk mikanda, Sio zile wanaweka plastic(swappa) kwenye soli. Hazibabuki kirahisi, sio kwa jua wala maji.. TUSIANDIKIE MATE, ANGALIA MFANO. Hizi nimevaa...
1 Reactions
24 Replies
9K Views
Habari wana jukwaa hili samahani kwa mwenye wazo lolote la biashara lolote nalinunua tutaingia makubaliano ya kimkakati kwa muda wa miezi kadhaa atalisimamia likileta ufanisi namlipa pesa zake au...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Silver Cc 1290 Km 175,000 Mwaka 2005 Posta/kigamboni Haina DOSARI YEYOTE Mazungumzo yapo 0745321705
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wapi wanatengeneza maturubai na je gharama yake ikoje?
0 Reactions
15 Replies
14K Views
Nahitaji kujua wapi nitapata huduma ya ku convert pound sterling notes kwenda kwa hela ya kibongo. Nimejaribu bureau de change za mkoani wakaniambia hawapokeagi wanaishia dollars tu. Hapa bongo...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Tunauza viwanja vya makazi vyenye miundombinu yote muhimu ya kijamii umeme maji barabara viwanja vina ukubwa wa feet 40×50 viwanja vipo Kisemvule mbele kidogo baada ya mbagala rangi 3. Vipo vya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamiiforum... mimi naitwa Alpha ninapenda kuwasogezea baadhi ya huduma zangu kwenu leo. ni matumaini yangu wengi watakao soma post hii ni aidha wafanya biashara au wafanya biashara...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Tutafute TRUE GARDEN DESIGNERS kwa namba hizi hapa..0687239674 na 0717580898 tunapatikana masaa 24.
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Wadau napenda kujua farasi wanauzwa wapi hapa Tanzania,na bei zao.
1 Reactions
19 Replies
11K Views
JIFUNZE SOFTWARE ZA UCHORAJI VITU KAMA RAMANI ZA NYUMBA, BARABARA , RELI N.K TUNAFUNDISHA SOFTWARE ZIFUATAZO 1.AUTOCAD 2.ARCHICAD 3.CIVIL 3D 4.REVIT ARCHITECTURE 5.EPANET 6.PROKON 7.PROTA...
0 Reactions
0 Replies
904 Views
Samahani kwa anaye ifahamu simu tajwa hapo juu. Ubora wake pamoja na bei yake. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kampuni - Sanyo Litre - 108 Location - Dar, Tabata Segerea Price - 280k
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Back
Top Bottom