Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wakuu, kwa muuzaji wa mashuka ya mahotel jumla au kama unamfahamu anayeuza kwa bei ya jumla naomba uni pm. siku njema.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Rejea mada tajwa hapo juu. Chumba cha kupanga kikubwa ft 14 na kuendelea chenye choo ndani, tiles, na gypsum kinahitajika haraka. Chumba kiwe ndani ya fensi yenye geti. Bajeti 100k kwa mwezi...
0 Reactions
0 Replies
494 Views
Atlas compco compressors za piston 3 piston 4 na piston 6 zinaptika dar es salaam zinatumia diesel wasiliana nasi kwa namba ya simu 0710727045
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Tunauza na kukodisha vifaaa vya ujenzi.construction equipments kaka bulldozers. Graders. Wheelloder. Excavator etc wasiliana nasi kwa simu namba 0710727045
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Nauza simu kwa Tsh 450000 ukiitaji nitafute number 0747830818.
1 Reactions
1 Replies
551 Views
MAWASILIANO YANGU 0745298903 AU 0693084522 Bei yake 8,000,000 (maongezi yapo kidogo) Ukubwa SQM 678 sawa na Mita 23 Kwa 30 Eneo lipo sehemu nzuri na iliyopangika sawa na ramani inavyoeleza...
0 Reactions
114 Replies
11K Views
Hiki kitanda kizuri sana mbao zake ni imara. Size ni 6*5 Bei ni 140,000 Eneo: Tabata Aroma Mazungumzo zaidi 0744033555
2 Reactions
5 Replies
2K Views
New MacBook Air (mid 2013) Core i7 Storage - ssd 256 GB Graphic - 5000 Ram 4gb Boxed. Top price 1.9m only MAC BOOK PRO (2015) CORE i 7 GRAPHIC 2500 STORAGE - 500 GB (HDD) RAM 4 GB Boxed Top...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wana jamvi ,namiliki gari aina ya raum mpya kabisa. Nahitaji dereva wa uber mwenye vigezo vyake vyote aje dm tuyajenge. Nipo Dar es salaam.
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Anayehitaji softcopy ya kitabu hiki kilichoadimika mtaani. Kitabu hiki kimeandikwa na HAYATI ABDU JUMBE, kinazungumzia Muungano wa Tanganyika Na Zanzibar na kilichojificha nyuma pazia. Cha...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunazo godoro mpya kabisa na usafiri bureee mpaka mlangoni kwako kampuni GSM TUNAUZA MAGOGORO POPOTE YANAKUFIKIA BURE KABISA TUPIGIE 0763542515 DAR inchi 8 5*6 unalipata kwa 170000 tu Inchi 6...
1 Reactions
0 Replies
482 Views
Habari wanajamvi, Maisha yamenitinga vibaya sana. Naulizia mashine za kugandishia lambalamba ambazo zimetengenezwa locally. Chini inakuwa na AC, alafu juu tumbo la fridge. Je, zinapatikana wapi...
1 Reactions
1 Replies
559 Views
jamani, nina mawe ya quartz karibu kilo 100+, nataka kuyauza sasa sijajua bei yake ikoje, naomba mnisaidie
0 Reactions
24 Replies
24K Views
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza...ninahitaji kioo cha simu ya iphone 5s au iphone 5s yenye i cloud tupate spare
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Features: usb Fm Radio Aux SD card inafaa sana kwa wenye PUB au sehemu ya kuuza vinywaji inafaa kwa mwenye duka anaetaka kuitumia kama speaker za matangazo inafaa kwa kukodisha kwenye event...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habarini wakuuu Kitanda kinaunzwa cha chuma 5 kwa 6 kipya kabisa kwa 200k MAKUMBUSHO DAR ES SALAAM MEZA nzuri ya kujisomea hasa kwa wanachuo kwa 50k ina droo mbili za kutunzia vitu muhimu na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba na eneo lake hipo Moshi bonite, eneo lina 20 kwa 20, Bei million 15, Piga 0683007848. Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Natafuta ile board ya kuchezea darts pamoja na ile mishale yake yaani full set. Nataka nitumie kama pambo ukutani na pia kuwafundisha watoto michezo tofauti na waliyozoea. Sehemu gani wanayouza...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom