Karibu ujipatie magodoro kampuni la GSM na offa ya usafiri bure ndani ya Dar tupigie 0763542515 tukuletee bure hadi kwako
Tupo kawe
Inchi 8 5*6 unalipata kwa 170000 tu
Inchi 6 5*6 unalipata kwa...
Kama kichwa cha habari kinavyosema kama unatanki limekaa alifanyi kazi naitaji matanki kwanzia 2000lita mpaka 10000lita ni kwajili yakuifadhi maji.
Na vizuri uwe Morogoro mjini kuhusu gharama na...
Nauza Iphone x ulotumika ila kama mpya haina michubuko wala mpasuko wowote haina kipengele wala matawi
Fingerprint [emoji818]
Betry health 100[emoji818]
Storage 256
Software version 14.5
Bei•...
Kuroiler ni kuku Chotara ambae hupatikana kwa kupandishia kuku wa jamii mbili tafauti ili kupata matokeo mazuri zaidi ukilinganisha na kuku wa kawaida.
Matokeo hayo ni pamoja na kutaga mayai...
Hawa watu wapo serious sana
Wameamua kushusha zaidi vifurushi vyao kutoka 10000 kwa mwezi hadi 8000 kwa mwezi channel zaidi ya 55
Pure kutoka 18000 hadi 13000 kwa mwezi
Channel zaidi ya 60
Plus...
KUTOKANA NA ONGEZEKO LA MATUKIO YA MOTO MAENEO MBAKIMBALI YAKIWEMO MAOFISINI, MAJUMBANI, MASOKONI,MASHULENI NA KWINGINEKO KUTEKETEA KWA MOTO NA KUTOA HASARA KUBWA.
Ashe Creation Company Limited...
Habar zenu
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya chuo cha TIA Dar kurasini - uhamiaji mpka sabasaba kisiwe mbali sana na barabara kuu pia kiwe na mazingira mazur maji,tires ikiwezekana hata self...
Msaada jamani, simu yangu samsung A70 imevunjika kioo cha camera naweza pata wapi hicho kioo???
Naomba msaada wenu wadau kama ni dukani au ni used sawa tu
Wadau habari zenu, bila shaka mko safi. kama hampo shwari, basi pokeni salamu zanhu za pole.
Ningependa mnihabarishe juu gharama za kutangaza biashara kwenye radio na magazeti na utaratibu mzima...
Habari WajaJF
Husika na kichwa cha habari pale juu
Sifa ya chumba
_______________
1. Kiwe katika hali nzuri tu ya kuweza kuishi MTU
2.Kiwe na umeme
3.Kiwe na Maji
4. Kiwe nawapangaji...
Habari....?.. Karibuni mjipatie mashuka yenye ubora kutoka Mohamed Interprises kwa gharama nafuu...
material ni pamba
SIZE 4/6
bundle 6 set 30. price 240,000/=
SIZE 5/6
bundle...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.