"TUNAUZA NG'OMBE TUPO ARUSHA SING'ISI TENGERU"
(*BIASHARA ZA UAKIKA KWA MDAU UNAYEITAJI FIKA SHAMBANI TUTEMBELEE KABLA YA MANUNUZI PIA WAWEZA TUMA MWAKILISHI KWA WALIO MBALI NASI *)
(1) Tunao...
Ndugu Wana jamii forum Kama kichwa Cha habari hapo juu chumba kipo magomeni kata ya Makurumla mtaa wa mianzini chumba kina Hali nzuri Sana rangi,siling board na umeme maji yapo nje kinapangishwa...
Kama kichwa cha habari kinavyoonekana hapo Kuna mdogo wangu Ni mwaka wa KWANZA kwa hiyo nilikuwa nauliza Room ya kupanga Maeneo ya Mwananyamala hapo kiwe kwenye Fensi , Maji na umeme viwepo...
Habari za humu Watanzania Wenzangu? Yamkini wote wazima.
Deki Aina ya Zec inauzwa ipo vizuri haijawahi kuharibika ina miaka miwili sasa toka 2018 August mpaka 2020 leo pia ina remote control...
Salaam.
Jaman naitaji Kiwanja kwa matumizi ya makazi na biashara Mjini dodoma
Ningependa Sana ukubwa wa kiwanja uwe Sq m 1500 to 2000.
Na maeneo ambayo naitaji ni ilazo, Nkuhungu, au nje ya...
Habari wadau, nauza gari yangu Rav 4 Kill time, iko kwenye hali nzuri na unaweza kuiona wakati wowote. Kwa mawasiliano nichek 0713339910 (wanaohitaji kweli)
Manufactured - 2000
Engine size 1998
5...
Haya material ni punje zilizotokana na mawe yaliyo sangwa, kwakweli inapendeza, itakuondoa katika hali ya kupaka rangi jengo lako miaka hadi miaka. Inadumu sana, inafaa ndani na nje.
Hapa...
Kichwa cha habari chahusika
Wakuu humu wanaofanya udalali
Naomba kupatiwa chumba chenye hali nzuri kinachofikika na usafiri chenye huduma zote na usalama maeneo tajwa.
Nicheki kwa SMS or...
Ndugu zanguni, Natafuta body ya nissan patrol y62(2006) na dashboard yake
Hata nikipata bei elekezi utakuwa ni msaada mkubwa pia.
Marekebisho..
Leo nilienda kuicheki gari yenyewe, aliyeniambia...
Tunauza bidhaa za plastic kutoka Misri kwa bei ya jumla na reja reja,. tuna flower pots, viti, meza, pallets, containers, michezo ya watoto. kwa mawasiliano 0677045403 au tembelea ofisi zetu...
Wakuu salam, nauza tv yangu mpya brand LG size 43 model ya 2019, ni tv ya kisasa sana, Ina features zote mhimu km internet, Netflix, YouTube na nyingine Nyingi km zilivyo tv za kisasa.
Tv...
KIWANJA SAFI KABISA NAUZA
.
PRICE MILION NANE (8)
.
LOCATION KIVULE CCM ILALA (DSM)
.
UKUBWA sqm 500
.
MAWASILIANO 0764519006
.
HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO KARIBU NA KIWANJA,
.KIWANJA KIPO KARIBU...
habari zenu wakuu,
kwa wale wote wanaotaka LOGO kwa ajili ya makampuni, NGO's na mashirika mbal mbali, ukitaka LOGO ya 3D au 2D zote tunadesign kwa 50,000 tu unapata brand logo yako nzuri na...
Wanabodi,
Mimi ni mdau wa Total, na haya ni mambo ya Total
Way wa Total ambao ni ma Sterling watatu wa vídeo maalum ya Total The Jerusaléma Challenge, wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa Total...
Habarini wakuu..
Nauza turubai aina tofauti tofauti, ambazo zinaweza kutumika kwa shughuli mbali mbali kama vile kuanikia mazao (mpunga n.k)
Turubai nyeupe (size 4/5) 50,000/= Katon
Turubai za...
Tunatoa huduma
wiring
Installation of air condition
CCTV camera
Kwa mawasiliano zaidi wasiliana nasi
Kwa namba zifuatazo
0716456379
0764459259
0687567376
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.