Iwe na vyumba vitatu vya kulala, jiko, sebule, dinning room, choo, bafu, umeme wa kujitegemea, maji na usalama pia.
Sihitaji dalali, na ninahitaji mkataba wa miezi mitatu (3) kwanza.
Nyumba...
Habari wakuu poleni na majukumu ya kulijenga taifa na familia zenu kwa pamoja iitikieni salamu😁
Nahitaji laptop(acer,hp,lenovo na asus) used na iwe kwenye condition nzuri iwe na sifa zifuatazo
1...
Habari wadau..
Nauza turubai 4 zenye za kisasa kwa bei poa.
Turubai 1
Size: Futi 20 kwa 20
Rangi ya Turubai: Nyeupe (Kenya)
Size ya bomba: Inchi 2
Bei: 800,000
Turubai 3
Size: Futi 16 kwa 20...
Habari wana JF
Ninayo mashine ya kuchomelea vyuma (Welding mashine) naiuza 150,000/=.
Nipo Mtoni kwa Azizi Ali, na mashime ipo Mbezi ya Tegeta Dar es salaam.
Nipigie 0719 785 546
Sent from...
Wadau naombeni msaada wa mawazo, ipi ni garage nzuri ya kurepair car a.c,, maana nateseka na joto hili baada ya a.c ya gari kuzingua..
thanks for your cooperations
Madereva wa Tanzania, Wahimizwa Kutumia Vilainishi Vyenye Ubora, ili Magari yao Yadumu Zaidi na Zaidi
Kampuni ya mafuta ya Total, ambayo ndio kampuni inayoongoza kwenye uuzaji na usambazaji wa...
-Ina vyumba vinne kimoja master
-Sebule
-Dinning hall
-Jiko
-Stoo
-Choo cha jumuia
-Kiwanja kina ukubwa wa sqm 700
mengineyo
-ina fremu 4 za kupangisha zinazotumika
-ina nyumba ya pembeni ya...
habari wanajamvi.
.nauza XBOX 360 yangu kwa bei ya kirafiki kabisa pia nitakupatia cd moja bure ya mission ya blades of time... nitwangie kupitia namba yangu ya voda 0754909834
Kuna Xbox 360 zimechipiwa,zina games zaidi ya tano ndani,zina pad Moja moja,cables na adaptors, machine hazina tatizo lolote na naziuza kwa bei ya kutupa 260k kila moja,no 0658327429,nipo DSM...
Form four mwenye Pass mbili na kuendelea( D2)
Unaweza kusoma kozi ya Business operation assistant (BOA) Ambayo ipo chini ya VETA na ukafika mpaka chuoo kikuu au Kupata ajira mara baada ya...
Karibuni wale wa Mwanza jumatatu kuanzia saa tano asubuhi nakata Belo la bwanga za design Kama hii kwa 6000 rejareja na 5000 ukichukua kuanzia 10.
Tupo kiloleli Mwanza ulipokua mnada zamani...
Unaweza jipatia kuku wa kienyeji na mayai toka Dodoma popote ulipo ndan ya Dar es Salaam, kwa Bei ya trei moja 15k, Ila jumla 13k na kuku wa kienyeji 20k jumla Ila 23k rejareja.
NB: NAPOSEMA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.