Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kama wewe ni mfanyabiashara, na biashara yako imekua sana,unapata wateja wa kutosha online, unafahamu jinsi ya kufanya matangazo yanayorudisha faida , basi hii sio kwa ajili yako Lakini kama...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanandugu nauza godoro langu jipya nlinunua nipange rum tkifungua chuo lakini naona hesab Zimeenda ovyo. Ukubwa : 5 kwa 6 Upana : inch 8 Bei : 160 k Napatikana:mbagala kuu Mawsiliano 0628731833...
0 Reactions
0 Replies
818 Views
Naomba kuuliza kwa wanaosafirisha au Kutuma mizigo midogo midogo kwenda mikoani ni usafiri upi huwaga mnautumia kwa gharama nafuu, zaidi Sana kwa kampuni za Ma Bus. Kuna mzigo nataka niutume...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Kampuni ya simu za mkononi ya TECNO imetangaza kuanza rasmi promosheni ya Camon16 Billboard Star ambayo itawawezesha wafuasi wake wa kurasa za mtandani pamoja na wateja kwa ujumla kujinyakulia...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Iphone X 64gb Battery health 100% Colors black/grey/white Price 950,000
0 Reactions
7 Replies
735 Views
Habari Karibuni mjipatie makapet mazuri kwaajili ya sebule yako au chumbani kwako Ukubwa wa kapets Ni Cm320*Cm 200 marefu kwa mapana ambapo Ni sawa na meta tatu na robo kwa meta mbili marefu kwa...
1 Reactions
43 Replies
8K Views
MASHUKE– (Agosti 23- September 23) Leo Jiepushe na maneno maana inaonekana utalaumiwa kwa mambo ambayo hukuyatarajia au hukuyafanya kuwa makini sana na mipangilio yako hasa masuala yanayohusiana...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Tunauza chupa za maji Brand ya Hellow Master zipo Rangi tofauti tofauti Ukubwa wa chupa Ni Mml 480 Material ya chupa Ni Glass Bei ni sh 5,000 tu kwa chupa moja Zipo Rangi Kama nne Kijani...
4 Reactions
41 Replies
6K Views
Gari ni mpya Plate no. imetoka jana. SPECIFICATIONS: Make: Toyota Model: RunX Body Style: Hatchback Color: Sky Blue Odometer: 58,000km Transmission: Auto Bei ni 12.5m subjected to Negotiations.
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu Tunatablets za watoto zenye sehemu ya kuweka Line Zinatumia WiFi Line ya kawaida so ni simu as well Ina application zote Kama smatphone ilivyo Waweza download games za watoto Study...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari wanaJF, Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya SUA mazimbu campus, chumba kiwe karibu na chuo, kwa yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali naomba ani-PM. Natanguliza shukrani zangu za dhati!
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wadau natafuta mtu anayeweza kukodisha laptop kwa mwezi, kuna kazi nataka kuifanya mara moja,tutaingia mkataba na nitamlipa pesa yake kama tutakavyo kubaliana ,ambaye yuko tayari...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Model: isuzu double cabin(kb turbo) Engine: 2800cc Mileage: 153569km Year: 1997 Condition: very clean Price: 13m Terms: negotiable Location .Dar es salaam Pm/0752040355
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Tunauza viatu vizuri vya kike ,kwanzia size 37 mpaka 41 Bei ni pesa ya kitanzania elfu 25000 tu .tunapatikana ilala dar es salaam kwa mawasiliano unaweza kutucheck kupitia WhatsApp number...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Angalizo! Huu ni mfumo mpya kabisa wa uanzisha na uendeshaji wa biashara na uko katika majaribio.Ukishiriki katika mfumo huu basi fahamu kwamba utakuwa katika majaribio.Hata hivyo mfumo huu...
0 Reactions
0 Replies
608 Views
Kuna eneo linauzwa ambalo liko na kibanda chake, maeneo ya Mbutu kigamboni. Unaeza hcho kibanda ukakiendeleza kwa makazi au unaeza kuamua kufanya ufugaji pia au unavyopenda mwenyewe. •Ukubwa ni...
0 Reactions
1 Replies
952 Views
KIWANJA KINAUZWA KIPO-DAR ES-SALAAM Tz MAHALI-MBAGALA ENEO - CHAMANZI ▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ UMBALI DK 4 TOKA BARABARA KUU YA LAMI __________ NYUMA YA SHULE YA SEKONDARI YA CHAMANZI...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Drone Online Ads tumekuwa kwa muda mrefu tukiwasaidia watanzania mbinu tofauti na ushauri bure wa namna ya kujenga nyumba bora kwa kutumia gharama nafuu. Hii inatokana na uzofu wetu katika ujenzi...
3 Reactions
16 Replies
3K Views
Msaada waungwana, natafuta buyer wa gem stone aina ya blue sapphire (rough/ uncut) ya morogoro... urgently awe hapa dar! 🔥
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Back
Top Bottom