Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Msaada Jamvini natafuta frame ama eneo naloeza weka pub na restaurant...Dar es salaam Sinza mwenge Survey itapendeza....au hata mawasiliano 300k bajeti
0 Reactions
1 Replies
641 Views
Natafuta Gari aina ya run x rangi yoyote number ikiwa D itapendeza zaidi offer yangu million 6 Mpaka 6.5 nitafute hapa 0759117175
0 Reactions
0 Replies
466 Views
Habari Zenu Machief! Taarifa Ni Hii... Kwa Mahitaji Ya Vyumba ,Nyumba, Viwanja,Mashamba,Plot,Yard, Godown/Warehouse,Ofisi ya biashara, Frem, Beach,magari (usafiri wowote) n.k sehemu Yoyote Ndani...
3 Reactions
1K Replies
197K Views
Habari jf Suzuki swift bx iko sokoni, magomeni Dar Transmission: Automatic Engine; Petrol, cc 1300 Milleage: 110,000kms Year made: 2000 Bei 4 million Piga simu 0744033555
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Namshukuru Mola tumeweza kwa muda wa miaka 5 kuzalisha na kusambaza mikoani bidhaa 5 za ngozi na nywele. Sasa wingi wa oda kwa mawakala wa mikoani, unafanya tushindwe kuwahudumia kwa wakati kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wasalam wapendwa wa Jf. Nahitaji sabuni za kuogea aina ya ALFA kwa bei ya jumla. Muuzaji wa jumla wa sabuni hizo alieko Dar naomba ani dm tufanye biashara. Au kama unafahamiana na muuzaji wa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Karibuni katika ukurasa huu ambao unaweza kuwa ni msaada mkubwa sana kwa wale ambao wangependa kubadilishana vitu vifaa magari kwa njia ya kuvunja aidha hata pia kwa wale ambao wangependa...
1 Reactions
53 Replies
3K Views
Kwa Tsh 10,000/= Tu unamiliki vitabu (E-Book) mbili ambazo zitakusaidia kuweza kutengeneza bidhaa za viwandani zaidi ya 45. Na namna ya kuanzisha kiwanda kidogo kwa mtaji wa Tsh 25,000/= Tu...
0 Reactions
5 Replies
949 Views
Vitu hapo juu vinauzwa na mimi nipo Dar Mwananyamala ambaye atahitaji kimojawapo kati ya hivyo anicheck kwa namba 0621691806. Feni 35k Godoro 90k Meza 40k, Mtungi 20k
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Machine mpya kabisa kwa ajili ya kukatia nyama,samaki na mifupa Ni imara na haikati misumeno Ina watts 550 Ina sehemu ya kusagia nyama Ina warranty mwaka mmoja Bei 1,350,000 tu Tunapatikana...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
German shepherd cross Dume 2 years old Price 250,000 Nipo Dar. Pia kwa mahitaji ya mbwa wa ulinzi wa ndani petty dogs wasiliana nami. Dm Karibun
1 Reactions
3 Replies
2K Views
habari wakuu, naomba msaada kwa wadau waliopo zanzibar, kuna duka linaitwa Zanzibar Electronics wanauza TV bei nzuri sana nilitaka kujua kama kuna mtu aliwahi nunua kitu hapo please njoo PM.
1 Reactions
17 Replies
13K Views
Habari wakuu, poleni na majukumu ya kila siku. Wakuu samahani, natafuta chumba kimoja cha kupanga maeneo ya ilala au Tabata. Budget line ni kuanzia 30,000 mpaka 70,000 kwa mwezi. Payment iwe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Anaeuza iphone za mtumba(used nje) kwa bei isoyoumiza nahitaji Mawasiliano;0627282973
0 Reactions
1 Replies
971 Views
Nataka kuaza kuuza nguo za watoto za mitumba sema nlikua nataka kujua mabelo ya mitumba yanapatikana wapi na bei zame zimekaaje kwa belo, mwenye uzoefu tafadhali.
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Dawa kiboko ya nzi majumbani katika mgahawa pia wale wa mabucha wote mnakaribishwa bei ni nafuu shilling 300 kwa pic moja na pic 50 ni 10000 badala ya 15000. Kwa mawasiliano piga namba 0783859598
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Nauza brand new remote controler ya AC aina ya Gree. Iko pc moja na ni mpya kabisa. Bei Tsh 40,000/= Napatikana Dar es salaam Mkoani nakutumia kwa bus (utalipa gharama za usafiri) Mawasiliano...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza kiwanja mwanza maeneo ya bwiru kwa maelezo zaidi nicheki
0 Reactions
6 Replies
1K Views
NYUMBA INAUZWA TABATA KIMANGA Nyumba ina sebule, jiko, mahala pa kulia chakula, Choo na bafu la jumuiya, vyumba viwili na master bedroom kimoja pia nyumba ina nyongeza ya chumba vya nje. Kiwanja...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom