Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Zinatumia Line zote,Zipo znazotumia charger ya Smartphones..Zipo znazotumia charger ya Lap top.. Unaweza kutuma sms na kupokea sms.. Tunakuletea popote ulipo kwa gharama zako.. Au njoo UBUNGO...
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Habari Excavator yaani kijiko kinauzwa kipo mkoani Iringa. Bei Tsh 50M. Kipo ktk hali nzuri ni cha kijapani imara Kwa maelezo zaidi ya engine nk na attach card yake. Lakini ukitaka maelezo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
habari. natafuta watu wenye magari yao binafsi na wapo teyari kuyakodisha kwaajiri ya shughuli za sherehe (harusi, send off n.k) karibu tufanye biashara nina wateja wengi wa kukodi magari...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari Nataka kufanya biashara ila nahitaji mtu wa kunifanyia market research kwenye maeneo mbali mbali hapa dar es salaam Na kunishauri kulingana na alichokipata kwenye hayo maeneo. Aina ya...
3 Reactions
5 Replies
949 Views
husika na kicha cha habari, sehem gan kwa daslam naweza kupata chumba au vyumba viwili (chumba na sebule) kwa gharama ya kawaida kwa chumba (70tzsh na kushuka) , usafiri usio na usumbufu saana na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Tucheck tupo Lumumba mwanza Jengo LA Lumumba complex Being zetu cheeee 0688572784 Karibuni
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Gari kali chuma ya mbrittish Colour-Silver Year-1995 Engine-TDi 300 CC-2495 Fuel-Diesel Mileage-189463 IMEUZWA TAYARI~ SOLD
0 Reactions
10 Replies
2K Views
KWA MAHITAJI YA RAMANI ZA NYUMBA NA MAJENGO MBALI MBALI. Faida utazozipata kwetu ni hizi. 1: Tutakuandalia gharama zote za ujenzi wa jengo lako. 2: Tutakusaidia kufuatilia kibari cha ujenzi...
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Habari wakuu. Natafuta pilipili za aina ya charapita (Aji Charapita yellow chilli peppers). Wakati mwingine huwa zinaota mashambani (wild charapita). Mwenye nazo tafadhali tuwasiliane 0676434611...
2 Reactions
1 Replies
698 Views
Kwa yoyote mwenye mabadiliko ya bei ya vifurushi vya Dstv naomba aweke ubaoni ... Bomba, Family, Compact, Compact + & Premium.
1 Reactions
22 Replies
7K Views
Kwa wale wadau wa uchimbaji Used jackhammers zinauzwa kwa bei nafuu ya 500k kwa kila moja. Kwa kila jackhammer unapata offer ya chisels tatu Piga 0757513714 kupata.
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari, Ningependa kutambulisha website mahususi kwaajili ya kutizama filamu za marekani kwa hadhi ya HD (High Definition). Filamu zote ni latest yaani kuanzia mwaka 2020. Karibu na ufurahie...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaam Mwenye kuweza kunisaidia kupata chumba cha kupanga maeneo ya kurasini na pawe karibu na chuo cha TIA... Sihitaji madalali kwasababu pesa ya kuwapa ya mwezi mmoja kusema ukweli...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kichwa cha habari cha jieleza wandugu. Nahitaji Nyumba yenye vyumba walau 2, sitting room ,dining room ,kitchen na parking. call me through 0718246410:
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Moja kwa moja kwenye mada: Leo asubuhi na mapema nimepita katika duka moja la vifaa vya ujenzi Dodoma mjini kuulizia bei ya mfuko wa cement na kukuta ni Tsh 16,500/=. Nikasema ngoja niende...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Mdc wakishirikiana na DX realtors wanaweza kukutaftia nyumba ya kununua kupanga na kukuuuzia nyumba yako kwa muda husika bila utapeli wa aina yeyote For more info pm me or check us...
0 Reactions
44 Replies
9K Views
Chumba cha kupanga maeneo ya chang'ombe au kurasini, kiwe self contained, maji, umeme, kiwe kinalipiwa miezi mitatu hadi 6, mwenye nacho anipm
0 Reactions
1 Replies
992 Views
ninafanya kazi posta karibu na NBC.... nahitaji nyumba ya kuishi angalau yenye chumba kimoja (master) na sebule. napendelea maeneo ya sinza, kigamboni, kurasini au sehemu yeyote ambayo ni rahisi...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
habari zenu, naomba msaada wa chumba cha kupanga,self contained, chumba na sebule,kiwe na tiles au sakafu nzuri. bajeti yangu ni 100,000 nina kodi ya miezi 3.. mwenye taarifa ya dalali mzuri pia...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Chumba kiwe na sifa zifuatazo *Self contained (muhimu sana) *kikubwa Budget : Si zaidi ya 60, 000 kwa mwezi Mawasiliano :Pm
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom