Heat press machine
Bado mpya kabisa
Kazi zake, kuprint t-shirt,handkerchef vikombe, kofia, jersey (jezi),sahan nk.
Bei 1m
0714030003/0735040004
Maelewano kidogo
Itakurudishia hela sana kipindi...
Wana tech umofia kwenu.
Naomba mtu anayeweza nisaidia kupata touch + display ya Samsung Galaxy J7 2015. Itapendeza zaidi ikiwa from original phone na iwe amoled.
Sent using Jamii Forums mobile app
-Toyota runx version 2006
-colour silver
-mileage 114,329
-haina shida yoyote
-plate number DQR
-imetumika TZ mwaka mmoja
-bei ni milioni 10
-contact 0712518770
Kama una story, research, presentation, report, risala,hotuba n.k. unapenda kuandikiwa tupo kwa ajili yako. Ni PM ukiwa na taarifa muhimu tukubaliane malipo ni nafuu sana. Utalipia upatapo draft...
Wajameni nisadieni,,,kwa wale ambao tumwahi kutumia huduma za Uber (Dar) na Taxify (Mwanza) ni wapi wana huduma nzuri zaidi?
Toa maoni yako kwa kutumia vigezo vyovyote
Habari wakuu,nyumba ya vyumba vitatu choo jiko na sebule inauzwa Janga Mlandizi Kibaha Pwani,ipo kwenye mandhari mazuri umbali wa kilomita moja kutoka Mlandizi center mwendo wa dakika tano kwa...
Habari wadau, mimi ni mwanafunzi wa course ya civil engineering, nahitaji laptop mpya au used, yenye sifa zifuatazo
Ram 6/8
Core i7
TB 2 Graphic memory 2
Habari wadau
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kama umdau au unatamani kupata mafunzo ya ufugaji samaki kuanzia kupima udongo .maji . Kuandaa bwawa .
Kuanzia vipimo na idadi ya samaki...
Ukitembea kariakoo utakuatana na wauzaji wa kila aina. Na wengi wao sio watu wazuri kabisa.
Wanakuuzia simu kwa kutumia mbinu zote za ushawishi. Ndani miezi miwili simu imeharibika. Na ukitaka...
Shalom!Naomba mwenye kujua anijuze wapi kwa hapa dar naweza kupata turubai la kufunikia gari. Asante sana
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Habari!!
Speaker au subwoofer ya gari au nyumbani unaweza kuifanya ya kisasa yenye Bluetooth kwa kutumia kifaa hiki hapa
Kinapatikana kwa bei nafuu ya Tsh. 15000. Tu kwa mawasiliano zaidi nicheki...
Nimekwama na nahitaji hela ya haraka ili niweze kutatua shida yangu.
Katika vitu nilivyonavyo na angalau vinaweza kunipatia hela ya kukidhi shida yangu ni Blender na Rice cooker. Kwa hiyo...
Bado nzima; ina portions mbili ya chini na juu.
Juu kwa ajili ya kupooza
Chini ya kugandisha
Ina ICE BOX kwa ajili ya kutengeneza barafu la nje.
Ni Imara. [emoji91][emoji91][emoji91]
Bei...
Kama uko Arusha au unamfahamu mtu yeyote mwenye stoo, naomba tuwasiliane kwa namba hii: 0629 255 677 . Nitumie hata sms.
Natafuta stoo ya kuhifadhia mzigo wa dagaa. Niko Arusha. Asanteni sana.
Toyota Brevis (DND)
Year: 2005
CC:2490
Full AC
Silver Coloured
Key to Start
Fog Lights
Clean Seats
Good Tyres + Original Sports Rim + New Spare Tyre
Music system + Radio
Full Documents...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.