Nauza mbwa aina ya bulldog kwa bei poa kabisa, wana matibabu yote ya kiafya na wana afya nzuri sana. Phone no.0716833834 mbwa wapo dar mbezi beach samaki
Habari zenu wandugu,
Nimeanza ufugaji wa ng'ombe wa maziwa, sasa nina changamoto ya soko la uhakika: natafuta soko la maziwa kwa ukanda wa Mbande hadi Mbagala, kwa sasa ninauwezo wa lita 10 kwa...
Kampuni ya Drone Ads inakutangazia wewe unayependa kujenga maeneo jirani na kitovu cha mji, kwamba inauza viwanja 150 vilivyopimwa vilivyopo nyuma ya stendi kuu ya Kibaha, eneo la Pangani...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahitaji kufahamu bei ya mahindi kwa wakulimu msimu huu wa mavuno ni bei gani kwa gunia, na upatikanaji upoje huko kwa sasa? Kama huko itakuwa vyema sana...
Tafadhali Rejea Kichwa Habari Hapo Juu , Naitaji Kiwanja Cha Kununua Maeneo Ya Chanika Kisiwe mbali Na Kanisa Katoliki Au Kisiwe Mbali Na Stendi Kivile
SIFA YA KIWANJA NACHOITAJI
1/. Kisiwe...
Habari wanaforum,
Natafuta kioo cha Samsung Galaxy A20 kilichotumika na bajeti yangu ni 100,000/=.
Nipo Dar es salaam Kinondoni.
Kama atapatikani anitafute ili tuonane twende kwa fundi ili...
Simu haina shida yoyote. Ndo hii nilio pigia picha.
Sifaa zake tazama picha ya kwanza.
Beii ni 250,000 cash.
Haina tatizoo lolotee.
0738370617
Location Dar es Salaam
LOCATION Mabibo mwisho
CALL 0659591489
BEI NI 200000TSH
Nauza simu ni TECNO COMON 11
RAM 3GB
INTERNAL STOREGE 32GB
ANDROID VERSION 8.1.0
LAINI MBILI ,INA SUPPORT 4G NETWORK
Banda bora la mbwa ni kitu muhimu sana kwenye ufugaji wa mbwa ili kupata matokeo chanya.
Sifa za banda bora la mbwa.
1. Liwe linaweza kumkinga mbwa wako na baridi, mvua, jua pamoja na hatari...
Happy Boxing Day wana JF.
Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi wangu. Najihusisha na ufugaji huku kanda ya ziwa ila nina changamoto ya chatu katika eneo langu hali iliyosababisha...
Habari wana JF
Hii puma yangu imebanduka ngozi juu, sole bado inadai. Nitafurahi kupata msaada wa wapi wanarekebisha viatu yenye matatizo haya.
Ni matumaini yangu nitapata ufumbuzi wa tatizo...
Ndugu kama kichwa cha habar hapo tawaja lengo la uzi huu ni kuwauzia vocha zangu ambazo nilinunua simu yamezan lakin haikuwa inafanya kazi maeneo nilipo kwahiyo vocha za buku nne tu nimekaanazo...
Kwa mahitaji ya kufungiwa madishi ya kila aina yani (C-band na Ku-band) pamoja na kazi za umeme nipo hapa fundi.
(1) Nafunga madishi ya FTA na kawaida(Azam, DSTV, Star times, Zuku e.t.c)
(2)...
Habari za Leo Wanajukwaa, Ikiwa Unahitaji Nembo (Logo) kwa Ajili ya Biashara au Kampuni yako basi karibu Tukufanyie kazi nzuri kwa bei nafuu. Pia Utapata Huduma zifuatazo:-
1. Business card...
Habari za muda huu wadau.
Nimepata shida kwenye gari yangu. Taa ya upande wa kulia imepasuka. Tafadhali kama kuna mtu anayo tufanye mazungumzo.
Mawasiliano 0658444526.
Napatikana DSM
Kama upo Mbeya na ulihitaji kupata mafunzo ya ufugaji wa kuku pamoja na utengenezaji wa incubator aina zote na za kisasa zaidi nione inbox nikuunge kwenye group la maandalizi Semina hii ya mafunzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.