Lala usingizi mnono kwenye neti nzuri na ya kisasa.
Neti 1 yenye ukubwa wa 6*6 na Bomba mbili ngumu kuvunjika.
Bei 120000
Dar na mikoani tunatuma.
Mawasiliano +255 620 301 071
Baiskeli elfu 70 tu usafiri wa mjini huu
Godoro elfu 55 tu lina foronya lake 4*6
Sofa zipo tatu kila moja laki moja na 70 tu
Jidakie haraka sana hizi sofa
Feni elfu 32 tu
TV chogo inchi 24 laki...
Ukifika kwa Hawa decor utajipatia urembo wa chupaa kwa bei nafuuu....
Mfano chupa plain kwa tsh 5000..
Chupa yenye urembo kama mistari ,vidoti, lovesdoti kwa tsh 7000
na chupa yenye ua kwa...
Habari zenu,
Natafuta mayai ya kisasa kwa Bei ya jumla Kama trei 100 kwa week. Nachukua kwa Bei ya shamba ya Sasa au ikizidi basi iwe kiasi kidogo ambacho naweza kukimudu.
Tuwasiliane kwa namba...
Habari zenu mabibi na mabwana.
Nilikuwa nahitaji mwenye kuwa na simu mbovu aina ya Tecno W5 tuwasiliane pm, lengo langu ni kuhitaji board ya nje ya simu tu, wenye nayo aje PM.
Sofa zipo tatu kila moja laki moja na 70 tu
Godoro zipo tatu
Moja -85000
La pili -65000
La tatu -55000
Baiskeli -85000
Vitu used bei kitongaaaa ni najidakia store piga simu 0762612213
Miongoni mwa huduma ambazo zimekuwa kimbilio la wajasiriamali wengi, ni huduma ya kutoa huduma ya vyakula kwenye sherehe au mikutano (cartering services) na wengi wanaofanya shughuli hii, wamepata...
TCL 55" LED 1080 HD HDMI 2 PORTS IN, USB 2 , 2 SETS FLOWER PIN
plus lock ya ukutani na miwani ya 3D model: TCL LED55V7300Q3D
Hii sio smart tv ila ina 3D Option na miwani ya kuangalia 3D kama...
Habari
Nipo Dar, ninahitaji jiko la kuoka mkate kwa mkaa, tafadhari tuwasiliane, 0786 711 786 kama hili hapa chini, nitafurahi nikimpata mtengenezaji ambaye si mchuuzi
Mashine za kukatia nyama aina zote mpaka samaki zinapatikana kwa bei ya 1.3M ya kitanzania.
Mashine ziko Mbezi Msakuzi na zimebaki nne tu.
Karibuni sana. 0682931592 whatsapp/0673958899 Call...
Habari zenu!
Nahitaji gari nzuri ambayo itafaa kwa shughuli zangu za hapa mjini na mara moja moja safari za mbali kidogo. Bajeti yangu ni sh mil 5. (Opa, passo, starlet, gx 100 yyt sizihitaji)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.