Unahitaji ulinzi kwa kufungiwa CCTV camera katika ofisi au nyumba
Unahitaji kufungiwa ALARM SYSTEM NA
GATE MOTOR SYSTEM
ELECTRICAL FENCE SYSTEM TUNAZIFANYA
AU UNAHITAJI KUFANYIWA MAREKEBISHO...
Nauza shamba wilayani mkuranga kata ya vikindu kijiji cha malela.
Eneo lilipo kilometres 45 tokea city center mjini
Shamba lina nyumba za kisasa 4
Mabwawa ya samaki 8 na samaki kila bwawa samaki...
Kwa jina naitwa Francis maimu napatikana mkoani tanga,ni muzajii wa dagaa wabichi na wakavu wanaovuliwa kwenye bahari ya hindi
Tunauza kuanzi kilo hadi guni la kilo 100 kwa bei ya jumla ambayo ni...
GOLDEN HOUR TSH.70,000.
Digital and analog, water resistant, mikanda yake ni stainless steel, warranty ni mwaka 1, Free delivery in Daresalaam na mikoani tunatuma kwa gharama nafuu Sana.kwa...
Habari zenu wandugu,
Kwa wenye utaalamu wa biashara ya mitumba nahitaji elimu yenu. Wapi nitapata mabalo ya mitumba 1st grade? Ambapo hakuna kupigwa famba? Au jinsi ya kutambua grade nzuri...
@panguabei_onlinesales
TUNAKULETEA AINA YA SIMU AMBAYO INA SIFA YA NOKIA..
*KG3310 IKO IMARA HATARI[emoji91] BEI YAKE 20,000 TU.Ukitaka uletewe ulipo,nauli juu yako boss wetu*...
Mshauri wa biashara, Mjasiriamali na Mkurugenzi wa Kampuni ya ushauri Wa biashara ya CPM Business consultants, anatoa Ushauri Wa biashara kwa Mkampuni, vikundi na watu binafsi kwa gharama nafuu...
Napenda kuwasilimu wana Jf wenzangu. Ni jambo jema sana kumshukuru Mwenyezi MUNGU kwa afya na uhai.
Ninauza vifaranga vya kuku aina ya kuchi mdomo pini. Kuchi wenyewe kabisa sio hao...
Habari za leo wanajamvi,
Mimi mwenzenu natafuta tovuti inayotoa taarifa ya bei ya vyakula nchini Tanzania (hasa nafaka) na pia Afrika ya Mashariki na Kati.
Msaada tafadhali. Nawatakia siku njema.
Habari Wana JF,
Wahi ofa yako Sasa uendeshe gari yako this 2020 specifications NI Kama zifuatazo
Subaru Impreza (DRV)
Year 2010
Cc 1490
Push to start
Clean seats
Sports rims with new tires
Full...
Habari wanazengo,
Ninauza machine ya ice cream ikiwa bado mpya (haijatumika sana ni miez 2), inauwezo wa kuzalisha ice cream elfu 6 kwa siku.
Utapata mould zake 2 na ukihitaji maji yake ya...
Toyota RAV 4 ya mwaka 1995 inauzwa, milango mitano Engine capacity ni 1998, imetembea KM 160947. Insurance ipo valid mpaka March 2021, Engine, Gear box na tyre zote nne zipo bomba kinoma...
Kama unavyojua, Ili uweze kutumia application ya Tigo Agent unahitaji OTG. Na OTG zipo kwenye simu chache tu. Kwenye simu nyingine inabidi upoteze muda wako ku-donwload OTG kwanza ndio Iweze...
Habari zenu wapendwa karibuni mikoba ya kisasa,ngozi na yakuvutia,nauza jumla na rejareja..jumla naanzia pic 3 bei 37000 jmla na rejareja 40000 napatikana mwanzapia unaweza nochek ili kuona disn...
Wakuu nauza simu Aina ya samsung a50 kwa bei rafiki kabisa ya 550k
Karibu PM au piga simu namba 0692377018 kwa biashara.
Simu bado ni mpya imetumika ndani ya mwezi tu mmoja iko na kila kitu...
Wanafunzi wenye sifa tajwa au Div. IV ya 34 na kuendelea:
1. Wahitimu sifa tajwa wanaalikwa na Kituo cha Elimu cha Utawala-Hombolo kujiunga na masomo ya mwaka 1.
2. Wakimaliza masomo watapata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.