Kiwanja kilichopimwa kipo Mwasonga, Kigamboni kilometer 30 kutoka ferry, ni kiwanja cha makazi chenye ukubwa wa sqm 712 na sqm 725 kila kimoja nauza kwa million 5 unaruhusiwa kutanguliza Milioni 3...
Jipatie hisense tv's kwa bei poa kabisa
Zina warranty ya miaka miwili
Free delivery kwa wateja wa Dar es Salaam
Tupigie au whatsapp 0765586050
Hisence 32”. 440k
Hisence 32”smart. 510k
Hisence 40...
Aminia games tunakuletea PS2 COMPLETE INAUZWA 160K
Ipo katika hali nzuri
imechipiwa
Ina memory card ya kuboot na kusave
ina flash disk 8gb na games 4 unazopenda
Ina pad mojaina cables zote,(waya...
Business Plan (mpango biashara) ni nini?
Business Plan ni taarifa iliyo andikwa ambayo huonyesha lengo la biashara husika kwa kuonyesha hatua muhimu za kupitia ili kufikia lengo.
Hapa unapata...
Jamani nahitaji kioo cha TV Hisence inchi 55
Nilinunua TV yangu mpya last week, sasa kwa bahati mbaya kioo kimevunjika upande wa juu kulia na kama wino hivi umevuja
Kwa yoyote mwenye uwezo wa...
- Umbali ni 5 km kutoka kituoni barabarani ya lami (Taliano bus stand)
-Eneo ni Tambarale
-Jumla ya Ukubwa wa Eneo ni Heka 4 ndani yake kuna viwanja vitano ambavyo vimepimwa vyenye ukubwa wa 3300...
Wale wajasiriamali wenzangu Nauza mashine ya kutengeneza popcorn
Mashine hii ni mpya
Naliuza tsh 380000/
Kwa mawasiliano piga sim 0715591141 dar nko
Ova
Nyumba inapangishwa Sinza.
Vyumba Vitatu (Master 1).
Jiko, Sitting room, store & Dinning
Price 700,000 per Month.
Term of payment 6 month.
Services feed for broker one Month.
Call/wasapu: 0738092860
Msaada,
Naomba mwenyewe kuuza baiskeli used from China kwa bei ya jumla au mwenyewe uelewa wa hii biashara anisaidie nielewesha, nataka kuanza kuuza baskeri lakini sijajua nitapata wapi kwa bei...
Habari wakuu nataka saa model hiyo vje bongo wanauza wapi kwa bei ya range hizo, naogopa kuagiza aliexpress kutokana na kuchelewa kufika mzigo kwa sababu ya maradhi haya ya korona je kuna duka...
Habari wanaJf
Nahitaji chumba single self kizuri cha kupanga Arusha eneo lolote lisilokuwa uswazi. Panapofikika mjini kwa urahisi.
Bajeti yangu ni 50k mpka 100k Ila kikiwa kikali zaidi naweza...
Karibuni nauza Unga wa Mbegu za Maboga Pure 100% haujachanganywa na chochote.
Unga huu una faida kemkem kwa afya zetu na kwa umri wowote. Kama vile umsaidia Mama anayenyonyesha Kuongeza maziwa...
Awali nilikuwa na simu TECNO L8 PLUS nikaiuza nikitaka niuprade kwa kununua Tecno L9 plus lakini bahati mbaya sana nilipoenda dukani sikuipata. Hazitoki kiwandani tena. Niliinunua hii Infinix kwa...
Karibuni sana kwa huduma za Electric Fence Installation.
Garama zetu ni 25000/= per meter.
Tupigie kwa 0766139379/0677412479
Tunafanya kazi mikoa yote.
Ofisi zetu zipo Makumbusho buss stand.
Wakuu rejeeni kichwa cha habari hapo juu, gari zinakodishwa kwa town trip na zinapatikana Dar es Salaam. Moja ina tani 3.5 aina ya TATA nyingine ina tani 3 aina ya Mitsubishi Canter. Gari zinafaa...
Kwa mifumo bora ya Umeme, muonekano bora na matumizi sahihi ya Umeme karibuni sana FAABI Electrical Service Provider Ltd.
Tunapatikana Sinza E. Jirani na Uwanja wa mpira wa TP.
Kwa mawasiliano...
Nauza seat covers za viti vya harusi kwa TSH 10,000 kila moja na Sashes za viti kwa TSH 8,000 kila moja (used).
Seat covers zipo sampuli nne za rangi nyekundu, pink, cream na brown (chocolate)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.