Carina TI
Ipo Vizuri Sana
Namba D
7.7 Million
(Maelewano Yapo)
Gari Lipo DSM
Njo na Fundi Wako Tufunge Biashara
Piga/SMS/WhatsApp Kwa 0712500005- Ongea Na Mmiliki Wa Chombo.
anti snoring belt.
Kifaa hiki kimethibitishwa kliniki kuzuia kukoroma na kukufanya ulale kwa rahamu starehe. Kukupa afya bora kwa ujumla.
.
Maelezo:
Rangi:ipo ya Bluu na Nyeusi.
Kusafisha: fua...
Kama kichwa kinavyojieleza.
Nahitaji kukodi deep freezer. Nipo Dar es Salaam.
Kwa mawasiliano tumia namba hizi: 0685944069/ 0756999312
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mahitaji ya recliner za Aina zote zinapatikana kwa gharama nafuu kabisa. Tunauza kwa Jumla na Reja Reja .
Tunapatikana kinondoni Morocco nyuma ya Vodacom headquarter na tunapokea malipo ya...
Nyumba IPO mtaa wa Shirikisho
Kigamboni Mwembe mdogo mita 200 tokea stend
Na kilometa 15 tokea kivukoni
Call 0685392211
Document serikali ya mtaa na upimaji shirikishi umeshafanyika
Uwanja sqmt...
Nimeuza gari mnunuzi hajafika bei nzuri na gari kaipenda ikabidi tuvue rims tufidie palipopungua
Nataka 1,000,000/= Rim na Tyre zake zote 4
Size 24
Sports Rims
+255788282409
Kinondoni
Wakuu, napenda kujua Silcon inayotoka kwenye miamba inakuwa ya moto ukiweka Taster inawaka inakuwa Red na black.
Solo lake lipo wapi na bei yake ikoje per litre.
Kampuni ya utalii ya Safari partners yenye makao makao makuu yake mjini Morogoro, inakuketea fursa ya kutembelea mji wa kihistoria wa Bagamoyo kwa gharama nafuu zaidi kwa safari ya siku moja...
Wakuu naomba kujua kwa hapa Dar wapi naweza fanya service ya gari aina ya Marcedes Benz
Mnyama anatua very soon
Nataka sehemu professional sio uchochoroni
Car type C250 CGI 2010
Wakuuu kama mada inavyosema hapo juu naitaji kufuga kuku kwa ajili ya biashara lakini naombeni ushauri wenu wadau ni aina gani ya kuku ambayo nikiwa nayo watakuwa na faida kwangu yaani watatagaa...
Wakuu, ambao wameshafika "La Chaz " pale Sinza Mori watakuwa wanajua Hali halisi ya pale hasa weekend nyakati za usiku. Utafikiri tupo awamu ya nne aisee. Watu wanakula bata sanaaa. Hawalali...
Habari, nauza shamba heka 10 na heka 4 zipo kijiji cha pili kutoka kimanzichana kilometer moja kutoka barabara ya kilwa.
Shamba la heka 10 ni shamba Pori linafaa kwa kilimo na ufugaji, matumizi...
Nahitaji mayai ya kisasa trey 100 kutoka kwa mfugaji direct, mfugaji uwe wa maeneo ya Dar au Pwani, bei maelewano.
Note: Biashara ni endelevu
Call: 0783147529
WhatsApp: 0783147529
ASANTENI
Habari wakuu,
Natafuta wauzaji wenye hizi GSM superior paper za kuanzia gram 100 hadi 110 nyeupe.Natafuta kwa niaba ya shirika na offer yetu ni nzuri.
Kama unazo au unajua zilipo kindly PM me...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.