Blue Light blocking glass.
mwanga wa bluu ni kati ya miale mikali zaidi inayo pelekea kuua nguvu za macho.
Kampuni maarufu za macho, kama vile Warby Parker na Felix Grey, zilitengeneza miwani...
Umofia kwenu wakuu,
Poleni na msiba wa Rais Mstaafu B.W.M pia hongereni kwa mapokezi ya shujaa Lissu
Dhumuni kuu la ujumbe huu ni mahitaji ya simu aina ya One plus 6T
(1+ 6T) mimi mwenyewe...
Habari wanajamii kama mada inavyo jieleza hapo tunapiga plaster za nyumba , fence ,maua ya fence ya nyumba nk.
Mawasiliano
0719526815
0688803481
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila kupoteza muda kwa wakaazi wa Dodoma na Singida kama kichwa Cha Uzi kinavyosema ,, tunauza dagaa wabichi Safi waliokaangwa ,,
Kwa yeyote mkaazi wa singida au dodoma na mfanyabishara...
Habari zenu wakuu, naomba kujua kwa Dar wapi nitapata soko zuri la kuuza ngozi ya ng'ombe na mifupa ya ng'ombe.
Naomba mwenye kujua anisaidie tafadhali. shukrani sana.
Habari za leo, Natafuta plastic very strong , and thick , should be at list 0.2millimiter or much till 0.8 millimeter. mahali gani naweza pata? Au ambaye anauza naomba tuwasiliane 0654553163
Nauza friji kama inavyoonekana kwenye picha. Bei ni shilingi laki 110,000/= (laki moja na kumi).
Haina gesi. Ikiwekewa gesi inagandisha na kupoza bila shida. Ninapatikana Morogoro, Kihonda-Bima...
Nyumba inaukubwa wa SQM- 450 ,Ipo karibu na ghorofa za NHC na chuo cha DUCE.
Nyumba ipo katika eneo tulivu kabisa wenyeji wa eneo hili wanaita hii Nyumba kijiji kutokana na Nyumba nyingi zilizopo...
Hello waungwana,
Ninasimamia maduka kadhaa ya vipuri vya magari (Used Auto spare parts) ambayo yako locations tofauti tofauti.Kwa hiyo nahitaji SOFTWARE itakayonirahisishia kuratibu shughuli...
Habari za sikukuu ndugu zangu. Nahitaji radio ya gari kama kichwa cha habari kinavyojieleza.
Iwe katika hali nzuri. Bajeti yangu ni laki 1 mpaka laki 1 na 50.
Kwa madalali wote wa Mwanza; ninatafuta kiwanja cha eka moja karibu na ziwani Nyegezi.
Wasiliana nami kwa PM ukionyesha picha ya google maps kuonyesh eneo la kiwanja chako.
Napenda maeneo...
Habari wadau wa JamiiForums
Napenda kuwatangazia kitabu kipya Cha watoto kinachoitwa WATOTO TUJIKINGE NA COVID -19 kilichoandikwa kwa lugha ya kiswahil I na kingine HOW KIDS CAN FIGHT COVID -19...
Habari wadau.
Nina mpango wa kufungua mashine ya kukoboa na kusaga mahindi. Niweke kwenye package kisha nisafirishe mikoani kwa wateja wa jumla.
Mashine, packages, mahindi, na mengine...
habari waheshimiwa;
kwanza nimshukuru mungu kwa kuzinduka tena maana ilikua siku ya tar 12 game la simba na yanga nilipata ajali daraja la kigamboni na kuvunjika mguu wa kushoto na kulazwa...
Sasa Mambo yamerahisishwa ni rahisi sana kuishinda njaa na kiu kwa wewe dereva au abiria unayeelekea Dar,Tanga,Arusha kupitia Bagamoyo road.
Drive in lodge tunatoa huduma kuanzia
Breakfast,Lunch...
Habari za leo, ninahitaji fundi ujenzi ambaye ataweza kukadiria gharama ya ujenzi,idadi ya matofali.
Na gharama zote kwa bungalow. naomba tuwasiliane 0654553163.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.