Gari ya kufanyia mitikasi ya mjini bila kuumiza mfuko..in mint condition
cc 990.
mziki mnene.
inapatikana nyuma ya 5n Sinza
Mawasiliano; 0738783625
Sent using Jamii Forums mobile app
Lathe machine kubwa urefu mita 3, swing overbed 800mm, 3jaw chuck na 4 jaw chuck bado mpya bei mil 30m maongezi yapo.
Mashine ya kutengeneza misumari complete set bei 40m, inchi 2.5 mpaka inchi...
Ili biashara yako itambulike kisheria inahitajika isajiliwe na usajili unafanyika kwa kutumia system ya BRELA ORS. Ili uweze kufanikisha usajili huu unahitajika uwe na namba ya NIDA na TIN kwa...
Nahitaji pikipiki ndogo ya kukunua mfano wa vile vipikipiki vya kina mama kuhemelea mahitaji ya nyumban kama kunamtu anacho kilichotumika apige kwa no 0762110272 /0710295529
Ninafanya mradi wa kununua na kuchakata mawe ya madini ya dhahabu katika mgodi wa Mwime wilayani Kahama
Katika kutafuta kukuza mradi, ninahitaji kupata mshirika tutakaeshirikiana ili kuweza...
Habari Nina sofa naziuza LA MTU 1, 2 ,3 nauza zote kwa laki 600,000 maongezi yapo njoo na usafiri wako ubebe nipo viwege dar es salaam, ili kufika viwege kwa mtu yoyote yule anae tokea kokote kule...
MAHALI: Tupo Dar es salaam sinza
makaburini/kwenye
mchepuko wa kuelekea
mlimani city upande wa
kulia, utakutana na bango
kubwa likisomeka
MUBA SOUND
TUNA PIMP NA KUBADILISHA MUONEKANO WA GARI...
Hii gari nauza gari bado mpya kabisa
Gari injini mdogo
Imekamilika kila idara
Full ac
Full documents
Bei milion 7.5 fexd
Nipigie 0719909691
0763166893
Karibuni
Habari wana bodi.
Kama kichwa cha habari kilivo,
Natafuta Mzalishaji wa Sabuni za magadi za Kigoma alieko Kigoma ili tuwe tunafanya biashara, yeye ananitumia mkoani.
Uwezo wa kuchukua ni hadi...
Omnibus survey is a cost sharing national wide survey where more than one client register their questions, share cost aand their questions are administered to 2000 of age 18+ respondents in all...
Pick Zone Dodoma Tunakuletea Bidhaa zenye ubora na upekee wa hali ya juu kuanzia mapazia , vyombo, maua, mapambo n.k kwa bei nafuu kabisa. Tunaambatanisha picha ya baadhi ya bidhaa kukuonyesha...
Tunatoa iCloud activation Lock na disabled ni kwa clean devices tu, kuanzia iPhone 4 hadi iPhone X na iPod zote.
Tunapatikana Morogoro mjini ila tunaweza kukufuata popote ulipo ndani ya Tanzania...
Habari wanaJamiiForums
Naitwa Jerry natokea JERRY EMPIRE: Mahali pekee tunapohusika na uuzaji magari used ndani ya Tanzania na hata yale kutoka Japan.
Kupitia sisi unaweza kuuza gari yako kwa...
Habari zenu wadau
Karibuni sana mjipatie samaki wa baharini kwa bei poa kabisa nakuletea mpaka ulipo
Dodoma Iringa na Morogoro tunakutumia
Tunauza kwa kg (kilogram)
Bei kwa 1kg ni
Kingfish 17000...
Nyumba Ni ya vyumba viwili vyote master pamoja na sebule.
Kodi kwa mwezi ni laki mmoja na elfu ishirini (120000), muda wa kodi ni kuanzia miezi sita
Kwa mawasiliano zaidi text/call/whatsap...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.