Habari!, ndugu wana JF natumai wote ni wazima.
Mimi ni graduate niliyemaliza Bsc Computer science , nime base kwenye web development baada ya kuona uwezo na mapenzi niliyonayo katika upande huo...
Sijui kama nimekosea kiswahili. Naomba kujua gharama za kudarizi kama sio kutarizi Tshirts.
Gharama na pia fundi awe Dsm hapa hapa. Nahitaji sana sana ndugu zangu.
Habari zenu wana jamii forum
Nauza machine ya kuchana ,kuranda na kutoboa mbao, 3 in 1 ni mpya haijatumika hata mara moja,ni 3 phase
Kwa anaehitaji mawasiliano 0656539385
Bei ni milioni 2.7
Habari wanaJF?
Kama una uhitaji wa website au web application nitakusaidia kukutengenezea kwa muda kama ambavyo tutakubaliana
Aina ya website nazotengeneza
1.Wordpress websites na blogs nafanya...
Processor: Intel(R) Core i5-3210M CPU @ 2.50GHz (4 CPUs), ~2.5GHz[emoji736]
RAM: 8GB[emoji736]
HDD: 1 TB[emoji736]
Operating System: Mac OS Mojave, can be upgraded to latest Versions / Also can...
Karibu Obey new villege
Ni mradi wa viwanja vya makazi na biashara (kisemvule)
BEl SASA NI MILIONI 1.3 TU.Ni Viwanja Vizuri sana VIMEPIMWA. Piga /Whatsaap 0627952483
UKUBWA kwa kila kiwanja ni...
Kwa Mara ya kwanza Nawaona hawa viumbe !! Mbwa wenye mkia kama Mbuzi ilikua ni miaka ya 2009 mkoani Iringa nilipokwenda kuzuru!!Na ilikua n Mara yangu ya kwanza kwan kabla ya hapo nilikua nawaona...
Habari zenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema kabisa na ujenzi wa Taifa letu pendwa.
Tunakaribisha wateja wa embe aina ya apple kwa kiwango kikubwa. Kama una hoteli au mgahawa hizi embe zinafaa...
Kuna Dada anaishi Dar Es Salam-kinondoni,kaniomba nimuulizie hii kitu, yeye hana smart phone ila nilipomwelezea faida nazopata kupitia Jf akatokea kuvutiwa nayo na kunituma huu ujumbe. Location...
Habari wapendwa wa jamii forums, nina hitaji chupa za plastic kwa ajili ya juice za size kama ya chupa za azam energy, MO chungwa nk. Kama kuna mtu anaweza nishauri sehemu ya kuzipata au anauza...
Tunanunua kwa wingi chupa zilizotumika za plastic za lita moja na nusu.
Chupa 10 kwa TZS 200.
Kama unazo, wasiliana nasi kwa 0629-859-757
bujibuji@jamiiforums.com
Rejea kichwa cha habari hapo juu, naomba connection ya mahala ambapo naweza pata wanunuzi wa mafuta ya alizeti grade 2 kwa ujazo wa little 20 kwa mkoa wa Dar na Pwani!!
Mafuta hayo yanatoka...
Natafuta mfugaji wa kuku wa mayai ya kisasa mwenye uwezo wakunisambazia Tray 100 kila baada yasiku 2.
Tutaingia mkataba/makubaliano kati yetu nayeye, hivyo kwayeyote mwenye uhitaj wa biashara...
Apdate vyote vimeuzwa.
Kwa anayehitaji chumba na sebule
Nyumba ya kisasa yenye jiko, chumba self, luku na maji unajitegemea.
Kodi laki moja tu kwa mwezi
Nimebakiza miezi mitatu na siku kadhaa so...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.