Habari zenu wakuu humu ndani samahani naomba kwa yeyote mwenye kujua kiwanda au viwanda vinavyosaga unga wa dengu kwa dar es Salam anisaidie kunifahamisha nilikuwa nashida napo. natanguliza...
nakupa CPU na MONITOR ya LG ambayo ina ukubwa wa 25"( monitor ukiplay video haioneshi vizuri lakini linafaa kwa kusomea na mambo mengine), ipo VGA, na power mbili( wire) ina ram 380( ddr 1) mb...
Iwe na sifa zifuatazo:
- Single chamber
- 4 bags sealing at once(mifuko minne kwa mpigo)
- Double sealing(kushoto na kulia)
Kama unayo naomba unicheki inbox chap kwa haraka.
Wakuu wasalamu.
Kama kicha Cha HABARI kinavyojieleza.
Kama Kuna MTU yeyote mwenye mashine tajwa hapo juu tv nch 32 naomba tuwasiliane pm ili tufanye biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nategemea kuja Dar kutoka ng'ambo hivi karibuni, na ninataka kukaa karibu sana na mlimani mall ili niwe naenda kwa miguu toka hotelini ingawa mguu wangu mmoja ni mbovu kidogo, natafuta hoteli...
Sifa zake.
Ni mashine imara.
Huchana magogo mengi kwa mda mfupi na kwa ulaji mdogo wa mafuta na umeme kwa ile ya motor engine.
Inaweza kubebeka.
Inapatikana Arusha,Tanzania.
Bei ni shillingi...
moja kati ya bidhaa zinazohitaji mtaji mdogo sana na zina profit margin kubwa ni liptherapy na bidhaa nyingine nyingi ndogondogo za urembo.
bei ya jumla liptherapy moja ni TSh 1200.
minimum oder...
Kiwanja kinauzwa
Kina ukubwa wa 900 sqm Kiwanja Kipo Kigamboni Gezaulole Umbali wa KM 2 kutoka Barabara kuu ya lami.Kiwanja hakina hati.Bei ni TZS Mil 14.5
Kiwanja kina ukubwa wa sqm 300 kipo...
Habari wana Jamiiforums wote,
Swal langu ni
Je! kwa Kariakoo, ni mtaa gani naweza pata pete ya uchumba ama ya ndoa original gold or silver??
Msaada wandugu.
Note.. MTAA
Hello mwana JF
Wengi wetu tunapata changamoto kupata wallpaper nzuri za simu. Ama tunaweka wallpaper zinazotuumiza macho kwa namna moja ama nyingine au tunatumia wallpaper lakini imekuchosha na...
Wakina Dada/Mama kupendeza ndo habari ya mjini, Popote ulipo tunakufikia kwa gharama nafuu kabisa, vitu Original kabisa hakuna copy.
Bei 55,000/= ukichukua zaidi ya 3 punguzo lipo
WhatsApp...
Google Pixel 3a for Sale
Released 2019
New, full boxed (protector, cover, charge and usb type C to C fast charger, sim pin ejector)
Ram 4 Gb
Rom 32 Gb
Best Camera
Bei 595,000
NO EXCHANGE
Nipo...
Habari mwana jf; karibu ujipatie subwoofer aina ya boss kuna ya spika 3 pia kuna spika 5 zote ni mpya na zina warrant ya mwaka 1 zote izo zina uzwa bei poa na utaletewa kwa laki 195,000 kila moja...
Wauzaji wa viatu vya kimasai jumla na rejareja
Tunapokea Oda pia
Mikoani tunatuma kwa uaminifu mkubwa
Jumla kuanzia pic3
Tunapatkan.mbagala kuu/kijich
Whatsap&call.0675172174.
Je! Una nguo za zamani ambazo unazipenda lakini huwezi kuzivaa kwa sababu Zimepauka?
Tunakusaidia Kuifanya kuwa mpya kwa kuikoleza rangi.[emoji153]
Tunakusaidia kubadilisha Rangi [emoji156]...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.