Salute wakuu
Natoa rai kwa wafanyabiashara na wajasiriamali ambao mnauza bidhaa au huduma mbalimbali mtandaoni , na unahitaji kuletewa wateja wa uhakika kila mara tuchekiane.
Nna skills za...
Ni mashine yenye uwezo wa kuchana mbao nyingi kwa mda mfupi na kwa kutumia watu wawili tu.
Pia ni chombo kinachobebeka kwa maana ya kuhamishwa mara kwa mara.
Zipo za aina mbili Inayotumia...
Habari wadau
Nauza mashine ya kuprint tshirt heat press machine heavy duty
Inatumika kuprint picha na maneno kwenye tshirt
Inafaa sana kuchapa tshirt za kampeni za wagombea.. na tshirt za kumbu...
Kampuni ya helmic group tunakodisha magari aina zote kwa matumizi mbalimbali kama ya ofisini, safari za mikoani na za kitalii na kwa maharusi. Wasiliana kupitia email: kinshagad@helmicgroup.com...
Mashuka safii na mazuri ya Mtumba kutoka UK. (Uingereza)100% cotton Size7×8 Wakazi wa dar es salaam unaletewa kwa sh elfu mbili .
Mashuka mawili na Foronya nne
tsh 50,000 Shuka moja foronya mbili...
Suzuki carry Namba C inauzwa, iko barabarani. Picha hizo hapo nicheki mmiliki tumalize.
Kama ni dalali fanya unavyoweza inifikie 3 kamili 0744733449.
Niko Njombe.
Kwa Safari za Dar-Arusha-Dar kila siku Aircraft type E120 Dar-Ark..
Muda wa Safari ni dakika 55..
Gharama za Usafiri ni 150,000Tzs.
Mawasiliano 0757640561
Ndugu,
Hebu nielekezeni mji wowote au mtaa wowote hapa nchini, ni wapi wanauza au kuchoma nyama ya kondoo.
Najua Vingunguti kunauzwa Mbuzi na sasa hiv X-mass iko karibu hakukaliki. Bucha...
Kifahamu king'amuzi cha DStv Explora, Gharama zake na kinavyofanya kazi.
DStv Explora ni nini?
Hii ni jamii nyingine ya king'amuzi cha DStv chenye uwezo wa kufanya yafuatayo.
1. Kurekodi kipindi...
Habarini wakuu.
Nina shida na meter ya 3 phase . Kuna watu huvuta umeme kwa ajili ya biashara zao,baadae hubadili matumizi na hivyo kukosa matumizi na meter ya umeme ya 3 phase.
Naomba connection
Habari!!
Mimi nimeamua kuwa mjasiriamali. Natengeneza TAMBI za dengu. Crips za viazi na muhogo na ndizi.. nauza kwa jumla 800 kwa pact na wewe utauza kwa 1000 pct. Kwa atakayetaka bidhaa...
Tupo kurahisisha biashara weka specification za device yako Contact na Muda wa matumizi tatizo likiwepo kuwa huru maana hii biashara huria
Nawasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.