Carpet lipo tu ndani linapigwa na Vumbi...!! Vipimo ni MITA 3.5 KWA MITA 2 na bei ni 50000tsh unalipiga maji unaanza kulitumia. Yapo mawili so Karibuni sana.
Nichek PM au 0743126103 Nipo Dar.
Morizella juice tumia kinywaji hichi kila mara ili kuondoa sumu mwilini pamoja na cholesterol (lehemu)ambavyo sio rafiki kwa afya ya binadamu .
Sumu hizi zaweza kutokana na vyanzo mbalimbali...
Mkuu wa Chuo cha Bright Smart Star Vocational Training Center chenye namba ya usajili VETA/MC/RC/110/82 Cha jijini Mwanza
Anatangaza nafasi za Masomo kwa ngazi ya cheti kwa kozi zifuatazo:
1...
Jenereta kubwa aina ya Perkins KVA 27 linauzwa,lipo mikocheni B bima road,limefanya kazi masaa 2746. Kwa sasa linatumika kuendeshea container za cold room, lipo katika hali nzuri, engine...
Babari ndugu zangu,nauza duka langu lililopo tandika dable kibin sokoni,duka Ni la vyakula na vitu mbali mbali mfano sukar,ngano,mafuta,sabuni na nk lenye mtaji wa sh 20,000,000.
Biashara Ni...
Asasi ya PDPR inauza na kukopesha vitotozi vya mayai ya kuku automatic na manual za umeme na mafuta, mizinga ya nyuki, vifaranga vya kuku na samaki, mashine za kufyatula tofari na kuchomelea. Pia...
Habari za jioni wanaJF,
Maomba connection ya kampuni zinazojishughulisha na kutoa mkopo ya vifaranga na chakula Cha kuku kwa wafugaji wadogo.
Asanteni.
Habari za mda huu wadau,
Kuna mchongo wa pikipiki brand new zinaitwa TANHERO zinauzwa na kukopeshwa kwa bei nafuu mnoo.
Gharama:
Zipo pikipiki za aina mbili.
1. Tanhero Super Model 110 inauzwa...
Wazee nahitaji raba zilizosimama,original hasa nyeupe dukani, nimezunguka ila sipati options za kutosha unakuta duka lina raba chache nyingi ni moka, zikiwa nyingi ni mafamba
Leo katika pitapita zangu huko Twitter nakutana na vituko vingine vya huu mtandao wa Tigo. Eti kuna vifurushi ili uvipate ni lazima uwe na umri wa miaka 24 kushuka chini.
Swali langu ni kuhusu...
Mi TV Box S inauzwa. Hiki ni kifaa kinachoipa uwezo TV yako ambayo siyo smart TV kuwa smart TV na pia hata kama TV yako ni smart lakini haina android OS basi unahitaji kifaa hiki ili kufaidi...
Kwa wakazi wa kimara na Ubungo sasa unaweza unaweza kupata huduma ya kununua gesi kidogo kidogo kulingana na mahitaji yako kwa kuanzia shilingi 1000 kwa kutumia simu ya mkononi kama tunavyo nunua...
Habari!!
Je, ungependa kuanzisha biashara yako ya kujikwamua kiuchumi kupitia Bongo Live Reseller Program?
Bongo Live ni kampuni inayotoa huduma ya mawasiliano kwa kutumia Bulk SMS yaani meseji...
Wapendwa wanaJF,
Nina Biashara ya Kufyatua Tofali hapa Goba Tegeta-A along Njia Nne/Madale Road. Niahitaji Lorry Fuso tani 4?/4.5 kwaajili ya kubeba mchanga, kwa makubaliano ya hesabu ya siku...
Make : subaru
Model : Legacy
*Bei Mil 9.5 tu.
Engine code : Ej 20 non turbo
Engine capacity : 2000
Manufacturing year : 2005
Transmission semi automatic
Sport rims☑
Air conditioner ☑
Booster with...
Tunauza Grandstream gxp2140 IP Phone mpya kabisa kama zinvyoonekana kwenye picha kwa sh 100000 pamoja na 24 ports patch panel za brand ya Begin kwa sh 50000 tu. Tunapatikana Karume, Dar es salaam...
Habari Zenu Wanajamii Forum
Ningependa Kuwapa Habari Nzuri Kwa Wale Wote Wenye Ujenzi Unaoendelea Mjini DODOMA Wa Nyumba Office Nk..
AIDF Inawapa Fursa Ya Kuwaunganisha Na Mafundi Wazuri Wakueka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.