Wakuu habarini.
Naomba kufahamu chimbo wanalouza earphones za samsung na nyinginezo kwa bei ya jumla 1000-2000 na chaji pia kwa bei ya jumla tu.kama unauza au una connection naomba funguka.
IN GOOD CONDITION used for 1 MONTH
[emoji830]RAM 1 GB
[emoji830]INTERNAL STORAGE 8 GB
[emoji830]NETWORK 3G
[emoji830]Android version 8.0.1
[emoji830]5 inch screen
Inapatikana Dar,, kwa...
Habari wanajukwaa?
Mada hii si mpya bali ni kukumbushana tu juu ya wajibu wetu kwa tuliowekeza rasmi iwe katika biashara au ujasiriamali na wasio na ufahamu na masuala haya juu ya malipo ya kodi...
Habari za leo , natafuta teak kwAajili ya kupiga sakafu ya mbao.
Nahitaji sakafu ya mbao square meter 800 , Na ni bei gani.kwa sqm 1, NITAPATA WAPI? Kwa anayeuza tuwasiliane 0654553163
Jipatie mbao zenye treated kwaajili ya upauwaji wa nyumba yako na upate ofa ya usafiri Bure mpaka sait.
Tuko Buguruni chama Dar es Salaam. Tupigie 0674 344 436 na 0768 206 093
Ni printer aina ya HP 2620, ni multifunction so inaprint, inatoa copy na kufanya scanning.
Printer bado mpya, ina mwezi mmoja tu
Bei 150,000. Ipo Tabata 0621460223
Karibuni
Kama unahitaji kumiliki au kujua kiundani kuhusu mashine za kusaga hapa ni sehemu sahihi kwako.
¥Najidakia store Tunatengeneza na kuunda hizi mashine na sifa yetu kuu TUNAMTHAMINI MTEJA
Mashine...
Karibuni, viwanja vipo Bagamoyo karibu na ofisi za mradi wa malaria kwa mkoa wa pwani. na km 1 kutoka bahari ya Hindi.
MOROGORO, vipo Morogoro Kwa mkundi makunganya.. bei kwa square metre ni sh...
Wadau wa Jf habarini, pia poleni na kazi na majukumu ya kila siku.
Nauliz Kwa anaeifahamu vizur mashine ya kutobolea miamba/mawe kwa ajili kulipua kwa baruti anijuze zinapatikana wapi au zinauzwa...
Napokea order na tenda za chakula
Vyakula vyote vya kitanzania(Swahili food)
-Maofisini
-Nyumbani n.k
Mahali popote ukihitaji chakula nakupa menyu na bei nakuletea popote ulipo nafanya delivery...
TOYOTA HARRIER ( DMT)
Make : Toyota
Model : Harrier
Engine Capacity Cc: 2990cc
6 Cylinders
Mileage: 127,000km+
Fuel: Petrol
Full AC
Standard features:
New tyres
Transmission: Automatic
Asking...
Tunauza viatu vya kimasai OG kwa bei ya kiwandani jumla na rejareja
Jumla ni 5000
Reja reja ni 7000
Tunapatikana mwenge na mikoani tunatuma bila shida yyte
Wasiliana nasi call/whatsap 0672904720
TOYOTA PORTE (DSD)
Make : Toyota
Model : Porte
Manufacture Year: 2004
Engine Capacity Cc: 1490cc
Fuel: Petrol
Full AC
Asking For: 8M
For more details kindly
Text or Call +255 717436363
Location...
Tunahitaji kupata wabia kushirikiana kwa mradi wa kuchakata mafuta ya kula na usambazaji mbegu kwa wakulima,ufugaji wa kuku na mafunzo ya kazi ya mikono pamoja na kufungua Karakana kwa fani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.