Wakuu nina bidhaa nauza; ni taulo mpya za kisasa zinakaa kubwa mbili na ndogo mbili zote kwa bei ya 25000/= tu.
Napatikana Goba Dar es Salaam, mawasiliano 0784896243 popote tunampelekea mteja...
Nunua viatu hapa Kwa Bei ya Kariakoo, mkoani tunatuma lakini mteja unalipia maana bei zetu ni za chini sana. Tucheki Whatsap kwa 0762027102
Vipo vingi anza na hivi
Bei: 40,000/=
Size: 40, 41...
Nilikuwa naishi Mozambique hasa mkoa wa Cabodelgado ila kutokana na changamoto za kiusalma kule nimeamua kurudi kwetu na nipo Njombe.
Na nataka sasa kujishughurisha na biashara ya vitunguu...
[emoji259]Mafuta haya ni mafuta yanayotokana na mmea wa mnyonyo,ni mafuta yanayo endelea kutenda miujiza kwa watu wengi sana kila iitwapo leo katika suala zima la ngozi na nywele...
Nyumba inapangishwa buza kwa lulenge, ina vyumba viwili kimoja masters , jiko na choo , juu gipsmu na RANGI nzuri Nyumba ni mpya haijawahi kukaa mtu. Maji yako masaa 24 , luku unajitegemea...
Nyumba nzima inapangishwa ipo temeke buza Ina vyumba vitatu kimoja master sebure jiko stoo dining room pamoja na maji Ipo katika mazingira mazuri na yenye usalama Ipo jirani na barabara kuu ina...
Habari wana Jf Nina portable toilets /mobile toilets kwa ajili ya matumizi yote ya outdoor. Kwenye misiba, matamasha, shughuli za ujezi na kadhalika.
Kampuni ni mpya nahitaji kupigwa tafu kupata...
Inashauriwa kusafisha MAF sensor ya gari lako angalau kila unapobadili Air filter. Lakini kama ukiweza ni vizuri zaidi kuisafisha MAF sensor kila wakati unapoisafisha Air cleaner ya gari lako...
Buda Electric Water Pump
- Ni rahisi kutumia
-Ni rechergeable (inachajiwa)
-Inatumia Usb Cable (smartphone charger) kucharge
-Inatunza Charge ndani Mwezi Mmoja na zaidi
- Inatumika Nyumbani...
Habari wadau,
Natafuta soko la Kuuza Soya,mimi ni mjasiriamali, so far nina soko moja (cliebt mmoja pekee Arusha), iwe ndani ya nchi au nje ya nchi,mwenye info anipatie,iwe hapa jukwaani au PM...
Habari wakuu.
Miezi michache iliyopita nilianzisha biashara ya vilainishi vya magari. Biashara inakuwa vizuri lakini ninaona kuna haja ya kuongeza huduma nyingine.
Ninahitaji mashine ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.